Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.

19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.

Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.

Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.

Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.

Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.

Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia

Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.

Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.

Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.

Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.

Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.

Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?

Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.

Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".

View attachment 2755925
Umesahau kujitambulisha kuwa wewe ndio Vicky, maana hayo uliyoeleza hakuna anayeweza kuyajua zaidi ya Likwelile na Vicky.

So long Likwelile hayupo bila shaka ni wewe Vicky ndiye unayetoa taarifa hii
 
Wanaume wenzangu wenye watoto kwa wanawake tofauti kuweni makini na wajanja.Huwa ni mtifuano baada ya kifo.Na nyie wanawake mnaokutana na watu wanahistoria zao zimeshiba- wake, watoto...hakikisha mali zako zinamajina yako na umiliki wako kisheria..
 
Amsomeshe mtoto Canada halafu akaajiriwe TAWA kisa na mkasa?
Balaa na nusu tena kwa kubebwa maana alishatoka kwenye utumishi wa umma akawa mbunge kwa miaka kumi, yaani watoto wooote fresh wanaomaliza vyuo hawajawaona wanaenda kurudisha huyu bibi serikalini, ndiomaana vijana wanaambiwa hawana chao.
 
Duh wewe jamaa Dr hakua na pesa alikua analelewa na Vick wakat huo huo wakanunua nyumba ambayo vick ndo anaitaka Sasa apo tuweke sawa nyumba Ali nunua Vick ama Dr ?
 
Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.

19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.

Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.

Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.

Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.

Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.

Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia

Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.

Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.

Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.

Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.

Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.

Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?

Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.

Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".

View attachment 2755925
Vicky una mbwembwe sana eti wanawake na maendeleo tufanye kazi!

Sasa rekebisha hiyo nyimbo imba hivi, wanawake hakuna maendeleo bila kudanga kazi.
 
Wadada wa mjini acheni dhulmaa Kwa Mali za watu,Vicky huyu anapenda waume zatu Toka kitambo tena wenye Hela tuu,ni gd digger km wengine tu
Wajifunze kwa Jackline, pamoja na kuwa smart kupata cheti cha ndoa, bado alikosa uhalali machoni pa mahakama na jamii pia
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Ndio mnavyodanganyana hivi kwenye kangaroo court na bush lawyers?

Kama ingekuwa ni hivyo sasa nani angehangaika kufunga ndoa na kusajili vyeti vya ndoa Rita?

Mitako mikubwa tu kichwani huna akili.
 
Kwa mazingira ya hiyo ndoa pana utata mwingi sana watoto mara nyingi wanaamini wanawake walioolewa baadae ndio wametawanya Mali zao na wao kukosa haki kumbe Mzee Likwelile ndie alitumia kichwa cha chini kuamua mambo yake sema Sister alikosea kufunga ndoa wakati ndoa zingine bado zipo hai...hilo nadhani liwe funzo kwa wadada wengine wenye hizo tabia za kutafuta mabosi na kuishi nao wakitegemea kupata Mali..
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Hiyo sheria ya ndoa imejaa ukandamizaji, iweje isimtambue Vicky kama mke ikiwa wamekaa miaka saba......ndo maana bunge la Kenya walitupilia mbali swala la mwanaume kumwomba mke ruhusa ili kuongeza mke wa pili, ni sheria inayolenga kumnyanyasa mwanaume akose option endapo ataingia kwenye mgogoro mkubwa na mke wa kwanza.​
 
Back
Top Bottom