NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Yani hata hizi gb 60 kwa mwezi kwangu ni ndogo najibana, ingekuwa najiachia basi kila nikitoka kazini navyopumzika kwa saa nikimruhusu mtoto acheki katuni zake kwenye Netflix 4k kwenye tv basi ndani ya muda huo gb 6 zishakatika, hapo sijahesabia matumizi yangu.
- Nafanya online backups za baadhi ya mafaili yangu kwa kujibana bana kwa kuyapa kipaumbele yale mafaili muhimu zaidi.
- Nacheki online tutorials kwa kujibana bana naangalia chache
- Nadownload movies kwa kujibana bana nashusha 720 p ilhali tv yangu inazicheza vizuri zaidi 1440p
- Software updates nazo nazivizia,
-Youtube nacheki kwa 480p sijiachii na 720p
-Insta naingia kwa kuvizia
.... Napata wasi wasi kwamba wengi wanajua kwamba internet ipo kwajil ya facebook na whatsapp tu