Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dar kubwa,Sasa unapoishi siri kivipi mkuu, hao zuku wapo Dar tu 😂
ukinunua kifurushi ukawa unalipia kabla hujakatiwa, let say tarehe 30 huduma inaisha ukalipa tarehe 29 unawapigia zuku wana double speed.so ni vp, hao zuku ukinunua 10 Mbps unapewa ofa / bonus ya 20 Mbps ?
Unawezaje kutumia 750mb kwa week mkuu? Mimi kwa kujibana kwa siku 2gb zinakata na hapo najibana maana kuna siku natumia hata 6gb
Unatumia vpn ipi dada? Mimi nina gunia zima la vpn zisizo na msaada wa maana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ping ya zuku ni around 2ms, sema mpaka uconect wired ndio unapata stable connection, nafkiri router zao ni low quality, adsl ni around 30ms mpaka 100ms inategemea ilivyoamka,tusaidie speed tests mkuu...
ping vp kati ya adsl na hiyo zuku,,,
Aisee!!! 2 ms..... kama ulaya vile, sikudhani hii bongo ipo maana hapo Kenya tu wanalalamika Ping kuwa 150+ huko twitter,ping ya zuku ni around 2ms, sema mpaka uconect wired ndio unapata stable connection, nafkiri router zao ni low quality, adsl ni around 30ms mpaka 100ms inategemea ilivyoamka,
sina Access ya zuku hapa nilipo, kesho naweza kutumia speed.
hio ni local ping mkuu, assume server ipo hapa hapa dar, kama server ipo USA, 150ms inakuhusu.Aisee!!! 2 ms..... kama ulaya vile, sikudhani hii bongo ipo maana hapo Kenya tu wanalalamika Ping kuwa 150+ huko twitter,
Adsl kumbe nayo iko poa tu, ile upload limit ya 1Mbps nilikuwa nadhani ita affect ping
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona maisha mepesi tuKwasisi wa Jamii Forum, Twitter na Whatsapp GB60 tungetumia miaka 7
sasa kwa adsl itakuwaje kuping server za nje kama hio zuku ni 150 ms 😔hio ni local ping mkuu, assume server ipo hapa hapa dar, kama server ipo USA, 150ms inakuhusu.
voda 5G ndio sijatumia pengine ika improve sana ping ya kimataifa
Yaani sana Mtu akitumia GB 1 kwa siku moja tu namuona wa ajabu🤠🤠ðŸ¤[emoji23][emoji23][emoji23] mbona maisha mepesi tu
no youtube, no tik tok , no instagram, no netflix Huko wsp ni kusoma text tu mambo mengine tunawaachia wenyewe[emoji23][emoji23], tutafute hela mkuu kuna mambo mengi yanakupita.Yaani sana Mtu akitumia GB 1 kwa siku moja tu namuona wa ajabu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Kwanini nijimwambafai Ndugu yangu ukweli utabaki ukweli tu, ila Sidhani kama matumizi ya MB ni kipimo cha maisha ya Mtu🤠🤠🤠ðŸ¤no youtube, no tik tok , no instagram, no netflix Huko wsp ni kusoma text tu mambo mengine tunawaachia wenyewe[emoji23][emoji23], tutafute hela mkuu kuna mambo mengi yanakupita.
Dual WAN? Load balance au fail over?Nina Zuku 10mbps ambayo ina offer ya 20mbps, na Adsl ya TTCL.
zinatumika separate mkuu, Zuku nashare na watu, ADSL ni private.Dual WAN? Load balance au fail over?
163ms netflix, adsl si mbaya kivile, inafika level kama 3G hivi.sasa kwa adsl itakuwaje kuping server za nje kama hio zuku ni 150 ms 😔
Tuanzie kwenye muvi ulizopakua hivi karibuni naaomba majina yake.
NOTE: zisiwe katuni wala animesheni(nsyuka zilizo changamka yaani muvi za musa banzi zilizochangamka kama dr strange na nyingine kama hizo)
Maana ninyi mnaojinasibu kutumia GB nyingi unaweza kuta unaangalia cartoons tu hapo kwenu us
Unaona sasa hawa vijana 😅😅😅Hivi unaujua utamu wa animation movies unaweza kuirudia kuiangalia na usichoke tofauti na movie ya kawaida kama hapa niko naangalia VIVO