Mtoa mada anachosema sawa na kuwaambua watu
"nashangaa natumia 60,000 Kama Pesa ya kula na familia yangu kwa siku mbona ndogo Sana hii"
Kilamtu anaweza tumia zaidi ya hio 60,000 Kama Pesa ya kula ya siku suala ni uchumi ndio maana wanashangaa ndio Happ kwenye GB hizo GB ulizosema chache Sana kilamtu anaweza maliza hizo tatizo uchumi ndio maana watu wanajibana na vi 1GB na vi MB jua kuwa kilamtanzania anaso content za kucheki YouTube ila pesa nduo hawana Mimi ukiniwekea access ya unlimited Internet iliyovizuri hiyo GB 60 nazidisha Doube yake na ku-triple mala tatu yake sema natumia kihasi kidogo Sana Cha BG kwa Mwezi kutokana na uchumi wangu sometime nikibahatishaga vikazi vya kutumia MB nikiwa nafanya kazi nazima data na kuwasha kilamala software Kama Canva mpaka Leo ninayo kwenye PC ila siitumii kwasababu i nahitaji bando mida wote unavyotumia