Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
unalitangaza jina lako sio?Mmmmh kama tupo Facebook kaah
sijawahi kuona ukimpa mtu like hata mara mojaumejuaje?
Facebook ndio wanaangaliaga likes Na comments huku n kichwa chako tunaangalia uwezo wa kuchangia hoja ndio unakula likesunalitangaza jina lako sio?
hata leo kuna watu wawili nimewapa likesijawahi kuona ukimpa mtu like hata mara moja
umeona balaa hilo wewe umekuwa liked mara 8310 ila ww umetoa like 111 tu basi
duh siku nzima umetoa likes mbili tu?hata leo kuna watu wawili nimewapa like
ni asilimia ngapi ya like zangu nilizopokea?umeona balaa hilo wewe umekuwa liked mara 8310 ila ww umetoa like 111 tu basi
Ngoja nisepeunalitangaza jina lako sio?
What up nigga roh...Hawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes
1:Shunie , huyu dada post nyingi ukimqoute lazima ulambe like
2: mshana jr
3:daudi mchambuzi
4: mc 7
5:chlorine gas hasa post za mondi ukimsifia
6:the boss
7:mtu mzito
watu wasiotoa likes
1:miss natafuta aisee huyu jamaa sijawahi kuona akimpa mtu like sijui kitufe cha like hakipo kwenye kifaa chake anachotumia kuingilia JF
2:Valentina , huyu mchaga naye daah mbahili kichizi kutoa like
3:stunter; huyu brazameni naye hatoagi likes kabisa
4:nyani ngabu:huyu ngosha wa USA naye mbahili wa likes kichizi
Hii ndo list kulingana na maoni yangu wewe je ? toa list yako
Vitu vingine hutoi?mbona natoa like sana