Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Umemsahau dada nifah hapo kwenye list ya watoa likes
 
Hawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes

1:Shunie , huyu dada post nyingi ukimqoute lazima ulambe like

2: mshana jr

3:daudi mchambuzi

4: mc 7
5:chlorine gas hasa post za mondi ukimsifia


6:the boss

7:mtu mzito

8: eddy muhando
watu wasiotoa likes

1:miss natafuta aisee huyu jamaa sijawahi kuona akimpa mtu like sijui kitufe cha like hakipo kwenye kifaa chake anachotumia kuingilia JF

2:Valentina , huyu mchaga naye daah mbahili kichizi kutoa like

3:stunter; huyu brazameni naye hatoagi likes kabisa

4:nyani ngabu:huyu ngosha wa USA naye mbahili wa likes kichizi


Hii ndo list kulingana na maoni yangu wewe je ? toa list yako
kwahiyo unawaquote watu upate likes?
 
Back
Top Bottom