Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Sawa..ngoja nimuongeze kwa list baby wako. Vp wakati Dj nagonga nyimbo za taratibu mbona mliwahi kuondoka jana kwenye party[emoji1] [emoji1]
Hahahhahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] s unajua shemejio umri umemtupa mkono nimeona tukapumzike mapema alichoka tu
 
Hahahhahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] s unajua shemejio umri umemtupa mkono nimeona tukapumzike mapema alichoka tu
Shemeji bwana!!ana mbwembwe sana, Dj niliwaimbisha nikawachezesha mpaka saa 8usiku wakaanza kurukaruka na nyimbo nyimbo za regge, palikuwa hapatoshi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shemeji bwana!!ana mbwembwe sana, Dj niliwaimbisha nikawachezesha mpaka saa 8usiku wakaanza kurukaruka na nyimbo nyimbo za regge, palikuwa hapatoshi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaaah mwisho nanona birthday boy akachukuliwa Na mkewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1480324856152.jpg
1480324891653.jpg
 
mpaka ule like yangu,ni lazima kichwani uwe timamu wa kunifurahisha.

Kuna members huwa wananifurahisha mpaka najikuta nacheka peke yangu,sasa kwanin wasipate LIKE?
 
Wanaotoa likes ambao hujawaorodhesha hapo.
*geniveros
*miss chagga
*Atug
*Supermarket
*Iceman 3D
*Zamiluni zamiluni
*Hance mtanashati
*Bonny
*jje's
*me too
*daby
*mamaafacebook
*scorpio me
*sakaya
*Shunie narudia kumtaja
Hawa jamaa[emoji115] hawana kinyongo asee, kama kitu kidogo kama kumpa mtu like kinakushinda basi
1.unajiona superstar maarufu
2.una roho mbaya
3.unajishtukia labda unahisi ataona anakutaka yani like=love.
***kumgongea mtu likes mara kwa mara kunaongeza urafiki, upendo na undugu.
Kweli?
 
Back
Top Bottom