mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
Anawapa Na wengine mbonaYule anakupa likes wewe tu baby wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawapa Na wengine mbonaYule anakupa likes wewe tu baby wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa..ngoja nimuongeze kwa list baby wako. Vp wakati Dj nagonga nyimbo za taratibu mbona mliwahi kuondoka jana kwenye party[emoji1] [emoji1]Anawapa Na wengine mbona
Hahahhahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] s unajua shemejio umri umemtupa mkono nimeona tukapumzike mapema alichoka tuSawa..ngoja nimuongeze kwa list baby wako. Vp wakati Dj nagonga nyimbo za taratibu mbona mliwahi kuondoka jana kwenye party[emoji1] [emoji1]
Shemeji bwana!!ana mbwembwe sana, Dj niliwaimbisha nikawachezesha mpaka saa 8usiku wakaanza kurukaruka na nyimbo nyimbo za regge, palikuwa hapatoshi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] s unajua shemejio umri umemtupa mkono nimeona tukapumzike mapema alichoka tu
Aaaaah mwisho nanona birthday boy akachukuliwa Na mkewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji bwana!!ana mbwembwe sana, Dj niliwaimbisha nikawachezesha mpaka saa 8usiku wakaanza kurukaruka na nyimbo nyimbo za regge, palikuwa hapatoshi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mke wangu ndio maana nakupendagamm natoa tu likes unipende usinipende nakulikes tu
mbhili mpk kwy like.....lazima utakua wa upareni we dadahata leo kuna watu wawili nimewapa like
Ukiwa na maana gani mkuu?Umemsahau dada nifah hapo kwenye list ya watoa likes
DuuuuuWanatoa Likes za mbele au nyuma [emoji3][emoji3]?[emoji1493][emoji1493]
Haujambo mdogo wangu?Aise CC Khantwe
Kweli?Wanaotoa likes ambao hujawaorodhesha hapo.
*geniveros
*miss chagga
*Atug
*Supermarket
*Iceman 3D
*Zamiluni zamiluni
*Hance mtanashati
*Bonny
*jje's
*me too
*daby
*mamaafacebook
*scorpio me
*sakaya
*Shunie narudia kumtaja
Hawa jamaa[emoji115] hawana kinyongo asee, kama kitu kidogo kama kumpa mtu like kinakushinda basi
1.unajiona superstar maarufu
2.una roho mbaya
3.unajishtukia labda unahisi ataona anakutaka yani like=love.
***kumgongea mtu likes mara kwa mara kunaongeza urafiki, upendo na undugu.
Umefichika sikuhizi
Sijambo shikamoo.Haujambo mdogo wangu?
kweli kabisa nishakula like za hao jamaa sana tu. ila aliyekula like ya chief mkwawa ajitokezeKweli?