Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

kwa hiyo hao ndio watu wote ktk hili group?
 
wewe mwenyewe ni bahili wa like,mpaka uangalie mtu mwenye jina ndio utoe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante ila kina miss chaga na @ stunter umewaonea

Post sent using JamiiForums mobile app
 
like mnapeana kwa majina

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…