Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
SawaNitakuja jioni unisubirie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNitakuja jioni unisubirie
Marhaba dada... Mambo?Shikamoo kaka
ni asilimia ngapi ya like zangu nilizopokea?
kwa hiyo hao ndio watu wote ktk hili group?Hawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes
1:Shunie , huyu dada post nyingi ukimqoute lazima ulambe like
2: mshana jr
3:daudi mchambuzi
4: mc 7
5:chlorine gas hasa post za mondi ukimsifia
6:the boss
7:mtu mzito
8: eddy muhando
watu wasiotoa likes
1:miss natafuta aisee huyu jamaa sijawahi kuona akimpa mtu like sijui kitufe cha like hakipo kwenye kifaa chake anachotumia kuingilia JF
2:Valentina , huyu mchaga naye daah mbahili kichizi kutoa like
3:stunter; huyu brazameni naye hatoagi likes kabisa
4:nyani ngabu:huyu ngosha wa USA naye mbahili wa likes kichizi
Hii ndo list kulingana na maoni yangu wewe je ? toa list yako
Sio kosa lake, shida ni kwamba watu special tunaostahili likes zake tupo wachache sana jamaniumeona balaa hilo wewe umekuwa liked mara 8310 ila ww umetoa like 111 tu basi
Moja hiyoNipeni likes...
HaitoshMoja hiyo
Ngoja niupdate JF APP nikurushie multiple likes...unajua watu wengine sisi tunatoa likes na baraka. Maisha yenyewe haya mafupi, kula LIKES 30 wenye wivu wahame nchiHaitosh
[emoji23][emoji23][emoji23] unanibarikiNgoja niupdate JF APP nikurushie multiple likes...unajua watu wengine sisi tunatoa likes na baraka. Maisha yenyewe haya mafupi, kula LIKES 30 wenye wivu wahame nchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante ila kina miss chaga na @ stunter umewaoneaHawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes