Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

We mbwah umesema kweli kabisa...🤣🤣🤣🤣 Falah sana wewe yaani nimecheka ile mbaya. Nikasema huyu mbwah yupo sahihi......
 
Hahahaa! Jina la ID yako linavaa uhusika wa akili yako inaelekea unamaarifa mengi 🤣🤣🤣

Hakujua wapi apeleke lawama zake, Sema amekupatia pamoja na maarifa yako yote, Kwa huyo dada ndio mwisho wa mbwembwe zako..
Aaargh wapi. Nlimchezea mchezo alikuja gundua too late. Nlitumia hii ID alikuwa hafahamu kuwa nayo ni yangu akaja gundua kusudi langu too late. Wanawake tukae nao kwa akili bob
 
Hii JF ingekuwa na Clubhouse yaan kuna muda tunachangia mada online kwa njia ya sauti kama Conference call kwa kweli ingekuwa ni vituko 😂😂😂... nafkiri moderators washughulikie hili. Kuwe na Clubhouse hapa JF
 
We mbwah umesema kweli kabisa...🤣🤣🤣🤣 Falah sana wewe yaani nimecheka ile mbaya. Nikasema huyu mbwah yupo sahihi......
Daah! Mbona hivi tena jamaa amekosa nini sasa hadi kuwa mbwah!!
Katika point hiyo hiyo, kuna baadhi ya watu wanatafuta kuchukiwa kwa makusudi ili iwe ndio umaarufu wao. Maana unaweza kuta jitu linatukana tu pasi na sababu za msingi.
au hichi kipengele kina kuhusu Chizi Maarifa
 
Daah! Mbona hivi tena jamaa amekosa nini sasa hadi kuwa mbwah!!
Nadhani umeelewa point yangu. Kinachotafutwa hasa ni ule ubishani ambao kwa mwenye kutoa matusi kihalisia anatafuta njia ya kupata amani ya nafsi yake kwa kujibiwa ili ajihisi na yeye yupo ulimwenguni.

Hili namithilisha na kitendo cha kuibiwa nguo zako na mwendawazimu ukiwa unakoga na kuanza kumfukuza. Kwa halaiki wasiojua kilichotokea wewe ulie uchi ndie utaonekana mwendawazimu, halkadhalika kumjibu mtu anaekutukana pasi sababu atakaekutia matusi kati anaweza hisi wewe ulietukanwa ndie mkorofi.
 
Mbona umemsahau yule chawa wa kujipendekeza wa Mama Sa100 anajiita sijui Lucas nani vile, mwishoni mwa uzi anaweka namba ya simu🤣🤣
 
Huyo namba 1. Mtoe hafai kuwepo hapo toka aanzishe Uzi wa kumroga mfanyakazi mwenzao, hastahili kuwepo hapo kwanza Hana mchango wowote wa hoja zenye mashiko.
 

Itakuwa umeogopa kichambo cha Yuniki Fulawa...
 
True saying budhaa! Ila watambue kwamba matusi ni mwanzo wa kujidharaulisha wenyewe na si kwamba wanaonekana ni werevu hapana tunawaona ni watu dhaifu kwenye jamii na si wenye maadili sawa sawa!
 
True saying budhaa! Ila watambue kwamba matusi ni mwanzo wa kujidharaulisha wenyewe na si kwamba wanaonekana ni werevu hapana tunawaona ni watu dhaifu kwenye jamii na si wenye maadili sawa sawa!
malezi ya utotoni huakisi moja kwa moja tabia za ukubwani. Ukiona mtu anaendekeza matusi na lugha mbovu ujue hivyo ndivyo alivyolelewa na chances are hivyo ndivyo atakavyolea kizazi chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…