Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika, mwandishi yuko sahihi kabisa.

Ndugu GENTAMYCINE, mpwayungu village, na Unique Flower, Ni wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ambapo siku ya 31/12/2022 walifanikiwa kutoroka hospital na kuiba simu za ofisi 3, kisha wanaanza kuropoka hovyo.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo wavumilieniii
Nope
 
3. Huyu demu jina lake limenitoka ila naye nimesoma mara kadhaa wakisema ana msongo wa mawazo kutokana na nyuzi anazoanzisha akiamini anarogwa, hapendeki,malaya,anatengwa, anaonewa wivu,anaonekana kachoka n.k so ikamfanya kila jambo katika hayo alifungulie uzi. Mpaka alipopelekwa hospital (watu wanasema hivyo) na kugundulika ana msongo wa mawazo na kulazwa ndo kumetulia. Huyu atakuwa binti mwembamba sana amekauka mwili

Uongoo huu kupelekwa hospitali ??😁 Wewe Mungu atakupeleka wewe hutakaa utokee uko mpaka ujue uongo ni ujinga nani mbaya mnaombea watu wengine wapate maradhi Mungu atawapa nyie maradhi walahi
 
Unaongoza kuchukiwa
Kweli unauwakika au kwasababu hamjui k yangu ipoje??
Mtalamba chini kunichafua hapa wala jamani naheshima ninayoilinda ndio maana .

Swali wananilipia Kodi??
Je chakula Kwa siku , je mavazi je pumzi??
Wewe nani anipa afya njema mnayotaka kila siku niipoteze ni Mungu so kwendraa nkuri lesiu , narubi menye eata njelele mxiuu mtabaki sana
 
Chizi Maarifa na trudie mtoto wenu anaendeleaje hahaa! Hawa jamaa huwa wanafurahisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaaa mkuu huyo jamaa unaweza kuta eidha hana hata mtoto, au anao na ametelekeza huko yupo busy anajiliwaza na mtoto wa kufikirika JF.
Kuna mdau kasema kuna watu humu JF ndio pa kujiliwaza na maisha yao ya upweke basi sasa hivi namwacha ajiliwaze huenda kufikiria amezaa na mimi kunampa amani ya moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ataendaje shule wakati hata matumizi na ada hutoi?? Na bado unajiita baba man up basi utume ada

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaargh..... Na wewe unataka mtumia mtoto vibaya. Juz juzi hapa umesema ana malaria nitume pesa ya matibabu 200,000 nmetuma. Mara ukasema ana tezi dume nitume tsh 500,000 nikatuma. Ada yake nlikutangulizia 700,000 sasa unasema haendi shule anaenda wapi? Kucheza ngoma? Acha hizo bwana. Baadaaye uanze kuanzisha uzi nimetoroka na mtoto.
 
Hahahahaaa mkuu huyo jamaa unaweza kuta eidha hana hata mtoto, au anao na ametelekeza huko yupo busy anajiliwaza na mtoto wa kufikirika JF.
Kuna mdau kasema kuna watu humu JF ndio pa kujiliwaza na maisha yao ya upweke basi sasa hivi namwacha ajiliwaze huenda kufikiria amezaa na mimi kunampa amani ya moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee..... Dunia tambala bovu. Haina shida. Naishia hapa.
 
Kitendo cha kumchukia mtu na hujawahi kumuona kinanifikirisha sana
Bila shaka wewe sio msoma comments...kinacho nisaidia mimi huwa majina ya watu sisomi... labda nikute comment ya kukera sana ndo narudi kumfahamu muhusika...na siku nyingine hata nikute kapost nini napita kama kipanga sisomi.
 
Ndugu yangu.... Tuliyamaliza... Unadhani nlitoroka naye basi? Ni vile tu wanawake wanapenda huruma. Sema baadaye alielewa alikosea wapi akajishusha ...nlimwambia hajapewa mimba JF so why iwe matangazo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaargh..... Na wewe unataka mtumia mtoto vibaya. Juz juzi hapa umesema ana malaria nitume pesa ya matibabu 200,000 nmetuma. Mara ukasema ana tezi dume nitume tsh 500,000 nikatuma. Ada yake nlikutangulizia 700,000 sasa unasema haendi shule anaenda wapi? Kucheza ngoma? Acha hizo bwana. Baadaaye uanze kuanzisha uzi nimetoroka na mtoto.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom