winston20
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 1,116
- 2,303
Umemsahau mpuuzi mmoja anajiita mpwayungu village
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yaani wewe ni conniving, craven pathetic worm who seeks attention by belittling others and make them feel bad, it makes you think ur great. Go seek sweet pus** it will help relieve ur stress and loneliness.Aaargh....we ungekuwa una akili na umekutana na mtu huko kunakoeleweka usingekuja kutoa faida kwa watu kuwa "mzazi" mwenzio katoroka na mtoto. Pale tu nikajua wewe ni bogus. [emoji16]
Really? Well ,its good to know that. Nobody has ever told me this before. But thank you coz at least now you have let me know what kinda person i am. I appreciate this.🤣Mkuu yaani wewe ni conniving, craven pathetic worm who seeks attention by belittling others and make them feel bad, it makes you think ur great. Go seek sweet pus** it will help relieve ur stress and loneliness.
Sent using Jamii Forums mobile app
HATE ME NOW....Mkuu yaani wewe ni conniving, craven pathetic worm who seeks attention by belittling others and make them feel bad, it makes you think ur great. Go seek sweet pus** it will help relieve ur stress and loneliness.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachukiwa na nani na kuongoza ndiyo nini?1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo. Maana nimesoma hasira za watu na bado kwenye nyuzi nyingine nimeona watu mpaka wakimtishia kumroga. Ana chukiwa sana. Sijui sura na umbo lake vitakuwaje.
2. GENTAMYCIME naye jamaa anachukiwa sana. Nimekuwa mara nyingi nikisoma jinsi ambavyo watu wamekuwa wakitaka kuzungumzia mtu wa hovyo wanamtaja jamaa... Sijajua hasa tatizo ni nini. But naye anachukiwa sana humu ndani kiasi inaleta maswali mengi je watu wakija onana naye watamfanya nini? Sijui sura na umbo lake litakuwaje
3. Huyu demu jina lake limenitoka ila naye nimesoma mara kadhaa wakisema ana msongo wa mawazo kutokana na nyuzi anazoanzisha akiamini anarogwa, hapendeki,malaya,anatengwa, anaonewa wivu,anaonekana kachoka n.k so ikamfanya kila jambo katika hayo alifungulie uzi. Mpaka alipopelekwa hospital (watu wanasema hivyo) na kugundulika ana msongo wa mawazo na kulazwa ndo kumetulia. Huyu atakuwa binti mwembamba sana amekauka mwili
Mi nashauri watu wapendane tu humu ndani. Mnaweza kuja oana humu mkapata watoto nao wakakulia humu humu. Kuna mkongwe mmoja alipata mke humu na kuanzia hapo akahama na JF but alikuwa ana madini sana yule jamaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo avartar sasaNadhani hapo ulimkusudia GENTAMYCINE sio mimi
Labda atakua ana bifu na mods [emoji23] nadhan ndio memba anaeongoza kwa ban JF nzima.Gentamycine washamlamba Ban tena[emoji1787] kwani huwa anafanyaje hadi anachapwa hivi
Sawasawapale mtu anapochukia kivuli ni kama anajichukia mwenyewe
Yani sijui nilikua nasoma thread gani mara naona banned🤣 sijui anafanyaga nini🤣na anadunda badoLabda atakua ana bifu na mods [emoji23] nadhan ndio memba anaeongoza kwa ban JF nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia..::: ila analikacocastic sio mwanamke ni mwanaume..
Nimepita kuweka sawa hapa
Thread closedNi ulimbukeni kumchukia mtu ambae kiuhalisia yupo kinadharia zaidi, maana kuna baadhi ya watu wanachangia kama mademu kumbe midume, kuna mafukara wanaojifanya matajiri. Kwa kifupi kumchukia mtu wa JF ni sawa na kumchukia actor anaeigiza kama adui kwenye movie, ni maigizo tu.
Katika point hiyo hiyo, kuna baadhi ya watu wanatafuta kuchukiwa kwa makusudi ili iwe ndio umaarufu wao. Maana unaweza kuta jitu linatukana tu pasi na sababu za msingi.
Kama vile baadhi tunavyofanya JF kuwa sehemu ya kupoteza muda, kuna wengine ndio sehemu pekee uwepo wao unatambulika hata ukiwa ni kwa jina la uongo. Ili kujipa thamani ya nafsi yake (validation and self-worth) ndio unakuta anaanzisha maugomvi yasiyo na tija. Ukichunguza walio wagomvi wengi humu utakuta maisha yao halisi yamejaa upweke na jitimai.
Ni bora Uchukiwe na Wanadamu ( Waswahili ) kuliko Kuchukiwa na Mwenyezi Mungu ambaye ndiyo Muumba wa kila Kitu.Huyu GENTAMYCINE daah! Huyu hadi JF yenyewe inamchukia nafkiri kwa sababu huwa haipiti wiki lazima atakua banned hata hivi sasa yupo banned🤣🤣🤣
View attachment 2472022
Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.Nadhani hapo ulimkusudia GENTAMYCINE sio mimi
🤣🤣🤣 Umerudi toka kifungoni sifuri mmoja😂😂😂 Welcome back little dude! Hope to see you cope with us again b’cause kind off we have been miss some of you’re opinions And about all that the stupid character and you’re idiotic mind...🤣🤣🤣🤣Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer halafu Usichukiwe na Waswahili ( Wanadamu )
Umemaliza Kunitukana na Kunidhihaki kwa Kiingereza chako chepesi cha Mwalimu Ras Simba wa Mwenge Mapambano?🤣🤣🤣 Umerudi toka kifungoni sifuri mmoja😂😂😂 Welcome back little dude! Hope to see you cope with us again b’cause kind off we have been miss some of you’re opinions And about all that the stupid character and you’re idiotic mind...🤣🤣🤣🤣