Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Chuki ya nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa jenter Utopologist kizee cha makamo 🤣🤣🤣🤣Umemaliza Kunitukana na Kunidhihaki kwa Kiingereza chako chepesi cha Mwalimu Ras Simba wa Mwenge Mapambano?
Muhuni Tapeli 😂😆Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
Nani kakudanganya kuwa cocastic ni demu??Huyo demu nahisi ni Unique Flower au cocastic
[emoji23][emoji23]Yani sijui nilikua nasoma thread gani mara naona banned[emoji1787] sijui anafanyaga nini[emoji1787]na anadunda bado
Wakikujibu 'nitagi' tafadhali.Chuki ya nini
Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
Yaani uliona kabisa katika ID yangu ya GENTAMYCINE kuna Herufi Kubwa ya neno BANNED halafu leo kwa Sanifu unakuja na Kauli yako ya Kinafiki kuwa nilipotea hapa JamiiForums.Ulipotea mkuu
Yaani uliona kabisa katika ID yangu ya GENTAMYCINE kuna Herufi Kubwa ya neno BANNED halafu leo kwa Sanifu unakuja na Kauli yako ya Kinafiki kuwa nilipotea hapa JamiiForums.
Kumbe siku hizi Watu wa SSIT ( Makao Oysterbay ) mmeishiwa Mbinu za Kiujasusi ( Kinjagu ) Kiasi hiki?Tuwasiliane mkuu nipo pm your contact/email
Ha ha ha.... Watu wamekuwa waoga hadi Moderators wanaingia kumsaidia.Binafsi Chizi Maarifa sijawahi kuona shida yake mwamba yuko poa sana sema tena siku ile aliamua kujizima data kwenye uzi uliokua wa moto sana kipindi kile kwenye ule uzi UMUGHAKA ni kama cult leader ukimgusa tu kipimbi wafuas waruka na wewe jumlajumla
Eti mkaoana na kupata watoto wakakulia humuhumu umenifurahisha sana1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo. Maana nimesoma hasira za watu na bado kwenye nyuzi nyingine nimeona watu mpaka wakimtishia kumroga. Ana chukiwa sana. Sijui sura na umbo lake vitakuwaje.
2. GENTAMYCIME naye jamaa anachukiwa sana. Nimekuwa mara nyingi nikisoma jinsi ambavyo watu wamekuwa wakitaka kuzungumzia mtu wa hovyo wanamtaja jamaa... Sijajua hasa tatizo ni nini. But naye anachukiwa sana humu ndani kiasi inaleta maswali mengi je watu wakija onana naye watamfanya nini? Sijui sura na umbo lake litakuwaje
3. Huyu demu jina lake limenitoka ila naye nimesoma mara kadhaa wakisema ana msongo wa mawazo kutokana na nyuzi anazoanzisha akiamini anarogwa, hapendeki,malaya,anatengwa, anaonewa wivu,anaonekana kachoka n.k so ikamfanya kila jambo katika hayo alifungulie uzi. Mpaka alipopelekwa hospital (watu wanasema hivyo) na kugundulika ana msongo wa mawazo na kulazwa ndo kumetulia. Huyu atakuwa binti mwembamba sana amekauka mwili
Mi nashauri watu wapendane tu humu ndani. Mnaweza kuja oana humu mkapata watoto nao wakakulia humu humu. Kuna mkongwe mmoja alipata mke humu na kuanzia hapo akahama na JF but alikuwa ana madini sana yule jamaa.
Shida unavyo interrupt unapunguza utamuHa ha ha.... Watu wamekuwa waoga hadi Moderators wanaingia kumsaidia.
Muhuni Tapeli 😂😆
nikweli kabisa, na uduanzi uliokua nao hatuwezi kua naoUko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
unafeli wapi popoma?.Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu.
Mtaje banaaaKuna mmoja hapo ikitokea raia wakawa wanampopoa na mawe mimi binafsi nitajitolea kuleta tipa ya mawe kabisa wasipate tabu. Ili wambonde vizuri apunguze kiherehere
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumchukia chizi ni Kazi bure.Mbona sitajwi humu na matakbir...