Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
Muhuni Tapeli 😂😆
 
Ata mimi mwazoni nilijua ww nikaja kuangalia vizuri nikajua siye kutokana na chat zake

Mkuu umeludi aya karibu
 
Ulipotea mkuu
Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
 
Tuwasiliane mkuu nipo pm your contact/email
Yaani uliona kabisa katika ID yangu ya GENTAMYCINE kuna Herufi Kubwa ya neno BANNED halafu leo kwa Sanifu unakuja na Kauli yako ya Kinafiki kuwa nilipotea hapa JamiiForums.
 
Tuwasiliane mkuu nipo pm your contact/email
Kumbe siku hizi Watu wa SSIT ( Makao Oysterbay ) mmeishiwa Mbinu za Kiujasusi ( Kinjagu ) Kiasi hiki?

Kumbe Mpare DAM alikuwa na Haki kabisa ya Kufyekwa vile na Mwamba ( Mngwena ) SHM Kuchukua nafasi yake.
 
Binafsi Chizi Maarifa sijawahi kuona shida yake mwamba yuko poa sana sema tena siku ile aliamua kujizima data kwenye uzi uliokua wa moto sana kipindi kile kwenye ule uzi UMUGHAKA ni kama cult leader ukimgusa tu kipimbi wafuas waruka na wewe jumlajumla
 
Ha ha ha.... Watu wamekuwa waoga hadi Moderators wanaingia kumsaidia.
 
1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo. Maana nimesoma hasira za watu na bado kwenye nyuzi nyingine nimeona watu mpaka wakimtishia kumroga. Ana chukiwa sana. Sijui sura na umbo lake vitakuwaje.

2. GENTAMYCIME naye jamaa anachukiwa sana. Nimekuwa mara nyingi nikisoma jinsi ambavyo watu wamekuwa wakitaka kuzungumzia mtu wa hovyo wanamtaja jamaa... Sijajua hasa tatizo ni nini. But naye anachukiwa sana humu ndani kiasi inaleta maswali mengi je watu wakija onana naye watamfanya nini? Sijui sura na umbo lake litakuwaje

3. Huyu demu jina lake limenitoka ila naye nimesoma mara kadhaa wakisema ana msongo wa mawazo kutokana na nyuzi anazoanzisha akiamini anarogwa, hapendeki,malaya,anatengwa, anaonewa wivu,anaonekana kachoka n.k so ikamfanya kila jambo katika hayo alifungulie uzi. Mpaka alipopelekwa hospital (watu wanasema hivyo) na kugundulika ana msongo wa mawazo na kulazwa ndo kumetulia. Huyu atakuwa binti mwembamba sana amekauka mwili

Mi nashauri watu wapendane tu humu ndani. Mnaweza kuja oana humu mkapata watoto nao wakakulia humu humu. Kuna mkongwe mmoja alipata mke humu na kuanzia hapo akahama na JF but alikuwa ana madini sana yule jamaa.
Eti mkaoana na kupata watoto wakakulia humuhumu umenifurahisha sana
 
Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
nikweli kabisa, na uduanzi uliokua nao hatuwezi kua nao
 
Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu.
unafeli wapi popoma?.
huyo aliyeiga ID yako dawa yake umshushie matusi mpaka ajute. hakujui nini?. hajui kama wewe ni bingwa wa kutukana?
 
Back
Top Bottom