Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
GENTAMYCIME ni kiazi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan unaita mtu mbwa...asipo kua makini lazm ata panic....We mbwah umesema kweli kabisa...🤣🤣🤣🤣 Falah sana wewe yaani nimecheka ile mbaya. Nikasema huyu mbwah yupo sahihi......
Hata siku moja siwezi mpa faraja ya majibizano.Yaan unaita mtu mbwa...asipo kua makini lazm ata panic....
Chizi kama chizi...yaan chizi maarifa...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Kuna mmoja hapo ikitokea raia wakawa wanampopoa na mawe mimi binafsi nitajitolea kuleta tipa ya mawe kabisa wasipate tabu. Ili wambonde vizuri apunguze kiherehere
Sent using Jamii Forums mobile app
Tezi dume mtoto wa kike? Sema mkuu inaonekana unatamani sana kuwa na mtoto nakuombea Mungu akujalie umpate. Tena bora uendelee kujifariji umezaa na mm bila kunifahamu siku ukiniona i swear utashinda unaanzisha nyuzi hapa kwamba tunafunga ndoa wallah utachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaargh..... Na wewe unataka mtumia mtoto vibaya. Juz juzi hapa umesema ana malaria nitume pesa ya matibabu 200,000 nmetuma. Mara ukasema ana tezi dume nitume tsh 500,000 nikatuma. Ada yake nlikutangulizia 700,000 sasa unasema haendi shule anaenda wapi? Kucheza ngoma? Acha hizo bwana. Baadaaye uanze kuanzisha uzi nimetoroka na mtoto.
Eti akamkaribisha na mjini hahhaaa, mwanzoni nilimkasirikia baadae nikaona bora nimchukulie kama jina lake lilivyo tuu.Kamfungulia umughaka id [emoji23][emoji23][emoji23]akamfundisha kutumia jf
Tezi dume mtoto wa kike? Sema mkuu inaonekana unatamani sana kuwa na mtoto nakuombea Mungu akujalie umpate. Tena bora uendelee kujifariji umezaa na mm bila kunifahamu siku ukiniona i swear utashinda unaanzisha nyuzi hapa kwamba tunafunga ndoa wallah utachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee.... Mungu ananiepusha na majanga sana. Siwezi oa mwanamke anayekuja mtangaza mume, mzazi JF ni majanga. Mi ntaoa mwanamke mwenye akili. Haya manungayembe tunacharurana tu humu na kuachana .... Kuoa ni issue sensitive sana.😂Tezi dume mtoto wa kike? Sema mkuu inaonekana unatamani sana kuwa na mtoto nakuombea Mungu akujalie umpate. Tena bora uendelee kujifariji umezaa na mm bila kunifahamu siku ukiniona i swear utashinda unaanzisha nyuzi hapa kwamba tunafunga ndoa wallah utachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna bwana huwezi ukawa wa kuchanganya mtu hata kidogo. Unaufahamu wimbo wa wanawake wazuri wazuri wameolewa... Wamebaki manunga yembe yanahangaika.Tezi dume mtoto wa kike? Sema mkuu inaonekana unatamani sana kuwa na mtoto nakuombea Mungu akujalie umpate. Tena bora uendelee kujifariji umezaa na mm bila kunifahamu siku ukiniona i swear utashinda unaanzisha nyuzi hapa kwamba tunafunga ndoa wallah utachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka unakomaa tunajuana ni wazi ulishachanganyikiwa, halafu unanitisha zaidi unavyokomalia mpaka wanaume wenzio mh mkuu, wewe sidhani kama ni chizi tuu kuna mengine nyuma ya pazia sio bureHamna bwana huwezi ukawa wa kuchanganya mtu hata kidogo. Unaufahamu wimbo wa wanawake wazuri wazuri wameolewa... Wamebaki manunga yembe yanahangaika.
Huyo demu nahisi ni Unique Flower au cocastic
cocastic sio mwanamke ni mwanaume..Huyo demu nahisi ni Unique Flower au cocastic
Mi ndo naongoza kumuweka lupango🤣🤣🤣Sijui ameshavuruga wapi huyu...Hahahaa..Tuzo aliyopewa haikustahili apewe ila ilifaa kuwe na tuzo ya mwanaJF bora kwa banned hii ingestahili apate huyo ndugu GENTAMYCINE
Unajua mpaka mwanaume anaamua kuondoka na mtoto anajua mwanamke hafai kukaa na mtoto maana ni nungayembe basi tu....sisi wanaume sometimes tunavumilia mengi. Na kukosea kupo unazaa na mtu anajiuza JF mkikosana anakuja kukulalamika JF... Sababu hata kwenu hafahamiki.... Ni shida.... Wanawake wazuri wameolewa. Yamebaki Manunga yembe yanahangaika...😁Mpaka unakomaa tunajuana ni wazi ulishachanganyikiwa, halafu unanitisha zaidi unavyokomalia mpaka wanaume wenzio mh mkuu, wewe sidhani kama ni chizi tuu kuna mengine nyuma ya pazia sio bure
Sent using Jamii Forums mobile appu
Hili li toxic concotion ni mtu flan ivi kupitia maandishi yake Lina characteristics za kipekee.....Hata siku moja siwezi mpa faraja ya majibizano.
Kupanic kwa ajili ya mtu ambae anapata furaha katika kuudhi wengine ni kujishusha katika level yake. Kuitwa mbwa ikiwa si mbwa hakukufanyi kuwa mbwa.
We jiliwaze wee ila ukweli unajua, wenzako hatukukutana JF tulikutana hukoooo ikatokea wote tulikuwa membaz wa JF, jinsi ambavyo hunijui eti hata kwao hufahamiki, best mwenzio nafahamika hadi na nzi wa kwao na ng'ombe zao tunazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Unajua mpaka mwanaume anaamua kuondoka na mtoto anajua mwanamke hafai kukaa na mtoto maana ni nungayembe basi tu....sisi wanaume sometimes tunavumilia mengi. Na kukosea kupo unazaa na mtu anajiuza JF mkikosana anakuja kukulalamika JF... Sababu hata kwenu hafahamiki.... Ni shida.... Wanawake wazuri wameolewa. Yamebaki Manunga yembe yanahangaika...[emoji16]
Aaargh....we ungekuwa una akili na umekutana na mtu huko kunakoeleweka usingekuja kutoa faida kwa watu kuwa "mzazi" mwenzio katoroka na mtoto. Pale tu nikajua wewe ni bogus. 😁We jiliwaze wee ila ukweli unajua, wenzako hatukukutana JF tulikutana hukoooo ikatokea wote tulikuwa membaz wa JF, jinsi ambavyo hunijui eti hata kwao hufahamiki, best mwenzio nafahamika hadi na nzi wa kwao na ng'ombe zao tunazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sio kila mwanamke aliye JF ni nungayembe kama wewe nungayembe wa kiume usie na maisha. Halafu sio kila aliyeolewa ndio mtakatifu mnagongewa wake zenu kila siku.
Nimekujibu koz nmetoka kanisani leo nipo very free lasivyo wala nisingehangaika kukujibu.
Mkuu yaani wewe ni conniving, craven pathetic worm who seeks attention by belittling others and make them feel bad, it makes you think ur great. Go seek sweet pus** it will help relieve ur stress and loneliness.
Wachana na pu**y za bei rahisi zinakufanya UTI na gono ipande kichwani mwishowe watu wanakuona chizi mkaka wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app