Kumchukia chizi ni Kazi bure.
Yess nachukiwa hadharani, ila napendwaa mioyoni na nafsini mwao. lakini hizo sifa zilizotajwaa hapo sio mie.Huyo demu nahisi ni Unique Flower au cocastic
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale mtu anapochukia kivuli ni kama anajichukia mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaa!!Ni ulimbukeni kumchukia mtu ambae kiuhalisia yupo kinadharia zaidi, maana kuna baadhi ya watu wanachangia kama mademu kumbe midume, kuna mafukara wanaojifanya matajiri. Kwa kifupi kumchukia mtu wa JF ni sawa na kumchukia actor anaeigiza kama adui kwenye movie, ni maigizo tu.
Katika point hiyo hiyo, kuna baadhi ya watu wanatafuta kuchukiwa kwa makusudi ili iwe ndio umaarufu wao. Maana unaweza kuta jitu linatukana tu pasi na sababu za msingi.
Kama vile baadhi tunavyofanya JF kuwa sehemu ya kupoteza muda, kuna wengine ndio sehemu pekee uwepo wao unatambulika hata ukiwa ni kwa jina la uongo. Ili kujipa thamani ya nafsi yake (validation and self-worth) ndio unakuta anaanzisha maugomvi yasiyo na tija. Ukichunguza walio wagomvi wengi humu utakuta maisha yao halisi yamejaa upweke na jitimai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Na akija na utambulisho wa ID ya kike wote wanaomchukia wanaanza kumchombeza na kusifu hata pasipo stahili.
Wapeeee wapeee dyadyaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli unauwakika au kwasababu hamjui k yangu ipoje??
Mtalamba chini kunichafua hapa wala jamani naheshima ninayoilinda ndio maana .
Swali wananilipia Kodi??
Je chakula Kwa siku , je mavazi je pumzi??
Wewe nani anipa afya njema mnayotaka kila siku niipoteze ni Mungu so kwendraa nkuri lesiu , narubi menye eata njelele mxiuu mtabaki sana
Na ananywekaaa piaaa.Malizia..::: ila analika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaas watu wana stress za maishaa yao, wanaamua kupumzikia kwa wengine.Unachukia I'd si wazimu huo.
Umeandika nini? Kwa nini usingeandika kwa kiswahili. Ndiyo kusema JF kila mtu anajua ngeli au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umerudi toka kifungoni sifuri mmoja[emoji23][emoji23][emoji23] Welcome back little dude! Hope to see you cope with us again b’cause kind off we have been miss some of you’re opinions And about all that the stupid character and you’re idiotic mind...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti tunachukiwa hii nchi sio ya ujamaa wasikuchoshee hawakulishi hawakuvishiWapeeee wapeee dyadyaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu wawekee na pichaaa, kwa uthibitishooo zaidi
Unakosaje evidence nawee? Unaniangushaa mwayaaaa.
Hilo jamaa litakuwa boya, Mimi nimesoma mara mbilimbili tofauti kumbe ni herufi ya mwisho tu ndiyo limebadili.Uko sahihi na kamwe huwezi kuwa Wewe pamoja na Kuiga Kwako ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kiumaarufu. GENTAMYCINE nitabaki kuwa ni Mimi Mmoja tu JamiiForums nzima na Wengine mtaishia tu Kuiga ID yangu, ila Madini yangu Tukuka yaliyoko Kichwani mwangu na Baraka za Upekee nilizonazo kamwe hamuwezi kuwa nazo.
Yaani kumchukia usiemjua ni sawa na kuogopa usichokijuapale mtu anapochukia kivuli ni kama anajichukia mwenyewe
AuntYess nachukiwa hadharani, ila napendwaa mioyoni na nafsini mwao. lakini hizo sifa zilizotajwaa hapo sio mie.
Afu mie hizo mbna sio shida zangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na wewe uko bannedHuyu GENTAMYCINE daah! Huyu hadi JF yenyewe inamchukia nafkiri kwa sababu huwa haipiti wiki lazima atakua banned hata hivi sasa yupo banned🤣🤣🤣
View attachment 2472022