Watu wanaotuzunguka ndiyo kizuizi cha ndoa na mahusiano kuvunjika

Watu wanaotuzunguka ndiyo kizuizi cha ndoa na mahusiano kuvunjika

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Watu wengi kwenye ndoa na mahusiano ya mke na mume wanaishi Ili siku ziende lakini moto unawaka.

Wengi wanatamani kuachana tatizo wanaogopa ndugu jamaa na marafiki kwamba itakuwa stori. Kama kila ndoa na mahusiano yangekuwa na dunia yao asilimia kubwa tungetengana.
 
Jamani ukweli ndio huo, watu wanaogopa kukimbia ndoa zao kwa sababu jamii itasema. Na kale kamsemo “KIKO WAPI" 🤣🤣🤣
 
Mi nusura nichinjwe lakini watu wasivyowema wakasema ilipaswa nivumilie tu alikuwa ananitisha ,asingeniua kweli🙌
Kimbia uvunjike mkuu , mambo yakuangalia jamii inakuchukuliaje utakuja uwawa bure .
Kuna dada yangu mkubwa yupo kwa jamaa hamjali ,vipigo kila siku , tukampa mtaji wa kutosha afungue biashara afanye maisha yake , aachane na huyo jamaa , kaenda kukabidhi pesa kwa jamaa , akaitumia kwa wanawake na vipigo vikaendelea.

Sasa ivi hata aibu anaona kuturudia , wanawake inabidi mbadilike aisee sio lazima kuolewa kama haujapata mtu mwenye akili timamu.
 
Back
Top Bottom