Watu wanaotuzunguka ndiyo kizuizi cha ndoa na mahusiano kuvunjika

Watu wanaotuzunguka ndiyo kizuizi cha ndoa na mahusiano kuvunjika

Nasubiri comments za wale walio ao mke zaidi ya mmja...au walio olewa matara
 
Watu wengi kwenye ndoa na mahusiano ya mke na mume wanaishi Ili siku ziende lakini moto unawaka.

Wengi wanatamani kuachana tatizo wanaogopa ndugu jamaa na marafiki kwamba itakuwa stori. Kama kila ndoa na mahusiano yangekuwa na dunia yao asilimia kubwa tungetengana.
Hujakutwa vizuri yani hujakamatika sawasawa hutowakumbuka hao watu, utasema tu yameishi.
Binafsi nilivumilia kwa miaka 15 na mwisho nikakubali kuwa kufa ndio njia pekee ya kwenda mbinguni.
Now nalea watoto wangu 3 mwenyewe na naona bora hivi basi yaishe.
 
Ambacho huwa sielewi ni hiki, wakati wa uchumba hao ndugu jamaa na marafiki hawakuwepo? Wakat unaenda kuwatambulisha masela kwamba huyu ndiyo shemeji yenu, ulikuwa haujchunguza vya kutosha kwamba anakufaa, upendo huvumilia yote, ukiona umeshindwa kuvumilia hapo unakuwa haukumpenda. Hakuna aliyekamilika kila mtu ana madhaifu yake. Usiishi kwa kuangalia watu maana hao walikuwepo tangu mnaanza mahusiano yenu iweje kwenye ndoa ndo wawe na influence??
 
Nadhani ukitaka ndoa idumu..fata kanuni ya biblia. Ondoka na mkeo, nanyi wawili muambatane.

Ndoa hauwezi kudumu kwa maisha ya kileo. Watu hawaambatani na wenzi wao. Ibrahim alipokuwa Sarah alikuweko.

Nuieni mamoja na mfanye mamoja. Otherwise mtakuwa mnavumiliana tuu.
 
Watu wengi kwenye ndoa na mahusiano ya mke na mume wanaishi Ili siku ziende lakini moto unawaka.

Wengi wanatamani kuachana tatizo wanaogopa ndugu jamaa na marafiki kwamba itakuwa stori. Kama kila ndoa na mahusiano yangekuwa na dunia yao asilimia kubwa tungetengana.
aise mbona unasema ukweli mtupu?
 
Hapa hamna muafaka, kipind ni mapumziko Walioa vs Wasioa ngoma bila bila.
 
Back
Top Bottom