Watu wanaotuzunguka ndiyo kizuizi cha ndoa na mahusiano kuvunjika

Ndugu yangu hapo anakwambia yy anakufa na tai shingonii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole yake aisee,kutokujitambua tu
 
Kama ni wewe ulikuwa unamjibu andika yako haijakaa kiume sana.....a a nyingi kweli mkuu
Ss madam mtu km huyu acha nichekee tu maana mtu kashafukuza mara Tano na kurudisha mwenyewe Kwa makosa Yale Yale ya kufumaniaa ..ss utamshauri nn zaidi ya kuchekaa maana ukimshauri cku kamwachaa aipiti wiki kamrudishaa nakuanza kumwambiaa mke wake fulan alikuwa ananishauri nikuachee hapo kashafinyiwa Kwa ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cku hz mm akileta malalamiko km hayo najibu Kwa kucheka tu maana ni sikio la kufa[emoji23]
 
😂😂😂😂huyo kachoka na maisha aisee.au mkewe ni MTU wa uganga sana?
 
Nami nafikiria nimechoka ndoa ....maudhi mengi sipendi .....Natamani niishi alone........nimemchokaaaa
Ss c uivunje mkuu c ipo mikononi mwako [emoji23][emoji23][emoji23]

Au tuambie tukusaidiaje wadau kabla ujauwa mtu au ukauwa wewee humo Kwenye hyo vita ya ndoaa[emoji23][emoji23]
 
Will manage .....dont worry....but its tough
 
Tangu nilipogundua maadui wa ndoa nimekuwa nikiwapa maumivu ya kusaga meno bila wao kujua.Mpaka nawaonea huruma lkn bado tu wanakuja nawakanyaga mithili ya miguu inavyokanyaga siafu na wadudu barabarani matuta ni mengi mno ardhini kutokana na adhabu ya muumba wanayoipokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…