Hujakutwa vizuri yani hujakamatika sawasawa hutowakumbuka hao watu, utasema tu yameishi.Watu wengi kwenye ndoa na mahusiano ya mke na mume wanaishi Ili siku ziende lakini moto unawaka.
Wengi wanatamani kuachana tatizo wanaogopa ndugu jamaa na marafiki kwamba itakuwa stori. Kama kila ndoa na mahusiano yangekuwa na dunia yao asilimia kubwa tungetengana.
aise mbona unasema ukweli mtupu?Watu wengi kwenye ndoa na mahusiano ya mke na mume wanaishi Ili siku ziende lakini moto unawaka.
Wengi wanatamani kuachana tatizo wanaogopa ndugu jamaa na marafiki kwamba itakuwa stori. Kama kila ndoa na mahusiano yangekuwa na dunia yao asilimia kubwa tungetengana.
Maneno matupu hayafai, ingia kwenye gameKwakweli mnatutishaš