Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Uhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Watu hawajatulia na ndoa zao, labda kama unawaangalia wakipita barabarani tu mkuu. Ndoa nyingi zina infidelity ya kwenda mbele...
 
Wacha watugegedee tuu maana mwanamke kama unagegeda weye mwenyewe maana yake mwanamke wako sio mzuri, hana tako na ana sura personal. Tuache uchoyo jameni...de libilo na de mbususu tumepewa bure.
 
Umesahau mpiga picha(Cameraman)
 
Hainaga makombo...na kama ni wa kuliwa ataliwa tu hata na plumbers, shamba boy na hata mwanaume ye yote katika mazingira husika. Fanya mambo ya muhimu na usipoteze muda wako wa thamani kuwaza mkeo/mpenzi wako analiwa na nani. Mpende mkeo sana. Timiza wajibu wako kama mume, baba na kuhani wa familia na mengine yaache.

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
 
Sasa huu ni uongo embu utushushe tumefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…