Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Umesahau na wauza maji mtaani
 
Umesahau muuza bucha na muuza mkaa.
 
Akiamua kuliwa analiwa na yoyote popote pale muda anaotaka yeye so hivi vitu visiumize kichwa sana
Havituumizi kichwa ila uzi umeletwa kama ilivyo humu jf so acha tu watu wachangie hoja.
 
Kwa tuliooa wanawake wakiwa si mabikira tujue tumeoa wake za watu, kumbuka mwanamke ni kiumbe dhaifu sana sana.hata umfanyie nn mwanamke hanaga shukrani,hata ukimpa kila siku million moja ya shopping huku ukijidanganya kuwa hatakusaliti unajidanganya bure tunza pesa ya ikutunze baadaye.wanawake huliwa sana na maex wao kuliko kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…