Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.

-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
 
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeamsahau COUSIN[emoji2][emoji1][emoji3]
 
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu mwanamke anaweza kugegedwa na mwanaume yoyote kutokana na mazingira husika.
 
Mke wamtu kapakizwa kwenye bodaboda anaanza kusimulia mambo ya ndani ya familia Mara ooh! Baba nani tunagombana kila siku hapa narudi nyumbani basi tu ila nilitamani nipate sehemu nikapumzike kwanza kwanini asiliwe sasa...
 
Juzi kuna dada aliniomba nimsetie simu yake ilikuwa haiwashi data

Ilikuwa ni apn zili miss baada ya yeye kui reset simu

Sasa wakati ananipa alinipa ikiwa katika upande wa message. Kuisoma meseji nikaona dada kamtumia ujumbe mume wake akilaumu mienendo mibovu anayooneshewa na ndugu wa mume wake hapo nyumbani

Dada alikuwa akilalamika kwa hisia sana na kumshauri mume wake wahame upesi eneo hilo kwani yeye anavumilia kuishi hapo kwasababu anampenda mume wake tu.

Nikaangalia kwenye inbox nikakuta meseji kama ile kaifoward kwa namba mbili tofauti, nilichokuja kubaini kuwa hizo namba ni za wanaume wake wa nje

Namba moja ilikuwa na conversation tata ikimuita aje gest akabutuliwe, namba nyingine ilikuwa na sexy chart za kawaida tu
 
Sawa Eksipati
 
Kuna gym trainer..

Halaf kuna hawa walimu wa English medium wa mwanao. Waangalie sana wale madogo wanaowasiliana na mke et kuhusu maendeleo ya mtoto. Kuna jamaa yangu mmoja alienda kuliamsha shuleni et mwalimu wa darasa wa mwanaye anamuaharibia ndoa
 
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mke wako ni malaya?
 
Back
Top Bottom