Katika casual talks hamwezi kumsema vizuri boss sometime ile critique inamfanya boss kua unsecured, kuna siku naenda kazini nakuta ofisi imefingwa hamna mtu, kumbe walienda field wote ila mimi sina taarifa na boss alifanya makusudi kuniumiza,...... siwezi kuishi kinafiki na watu kamwee siwezi kuajiriwa tena labda iwe political post kama mkuu wa mkoa au wilaya, au ni ajiliwe na UN, ila kwa hao waswahili wetu hapana, bora nifanye umachinga wangu, usipo kua na Imani ya Dini unajikuta umeanza ushirkina ili upendwe kazini loh.