one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
Kujiajiri kuna hitaji nidhamu ya 100%..sio kazi ndogo kabisaa...kuna muda unajikuta unaongea mwenyewe...kuna muda fedha yako mwenyewe inakuendesha kwenye mateso makali..kuna muda fedha ipo kula yako tuu ni mateso...muda wote kichwa kinawaza mahesabu...