Watu wanapitia manyanyaso kwenye ajira

Eeh hata mimi suala la kumuita mtu boss au sijui nitetemeke au kujikunjakunja nikimuona hilo Mungu kaninyima.

Nakua humble kwa subordinate na nakua normal kwa superior.
Heshima ni muhimu sanaa kwa vitendo na maneno kumièeèita mtu boss upungukiwi chochote,....kuna taasisi moja ni lienda boss wao alikua padri, ila akiingia kwenye staffroom wote mnasimama kwanza mnatoa salamu na kukaa badaye. Mimi binsfsi hilo sio tatizo, tatizo ni pale ukianza kunionea bila issue ya maana.
 
Huna hata hivyo vyeti ,unajifarijibguu hapa bwana jobless
 
Dah kumbe kweli maofisini mnalogana kama tunavyologana mabodaboda
 
Mkuu huku nilishatoka siwezi kurudi kwenye fitina za kua ajiriwa na wa swahili tena, na pambana na umachinga wangu ila niko happy sanaa nina uhuru na uhakika wa kula na kulala kila siku
Uhuru ndio kila kitu mkuu umechagua njia iliyo bora Big up
 
Mie nashindwa kuelewa kwani workmates wakipeleka vitu kwa boss na wewe unafanya kazi kwa weledi shida iko wapi au ulikuwa wampiga majungu boss
Unaweza fanya kazi kwa weledi lakini ukashangaa boss anakununia tu kisa kapewa mchongo na workmates kua unapiga ama la.
Mfano niliajiriwa taasisi fulani hivi, nafasi ya muhasibu, nilikua nakimbiza kazi balaa. Yaani kazi ikifika mezani mwangu nahakikisha lazima itoke,
Wafanya kazi wenzangu walinipongeza sana. Malipo hayachelewi, mwisho wa siku Boss kubwa akaniita akaniambia 'our account is at risk'. I'm too much paying. Nikajisemea moyoni eeh!
 
Sasa too much paying ndio ikoje hiyo...kwamba unawalipa wafanyakazi hela ya ziada ama?
 
Boss mwite boss, mwizi mwite mwizi, tajiri mwite tajiri, masikini mwite masikini. Rahisi tu hakuna shida juu ya hilo. Sasa mtu kama ni bosi wako unataka umwite kijakazi?
 
Maofisini pia kuna kuoneana wivu. Ndioomaana katika kanuni za kijasusi huwa wanasema Never outshine your master . Hata boss hapendi afunikwe ki uwezo na mfanyakazi wake
 
Kinachokusumbua ni wivu wa kimaskini..boss ni boss TU hata usipomuita atabakia kuwa boss .mtu kaajiri watu anawalipa mshahara Kwann usimuheshimu?? Unadhan ni kitu rahisi jaribu na wewe...

Ukiendelea na hyo roho Yako ya wivu utabakia maskini daima!! Mna jina lenu nasikia mnajiita maskini jeuri!!!
 
Mimi nimejiajiri mwenyewe katika mchezo wa kamari.

nacheza kamari napata pesa
kama nauhakika wa kupata laki 3 kwa siku ambayo sawa na milioni 9 kwa mwezi ya nini kuajiriwa. 😃😃😃😃😃
 
Kiswahili kigumu. Hiyo mada inahusu au inasisitiza umuhimu au faida ya kujiajiri na sio kumdharau muajiri wako. Ukishaingia kwenye mifumo ya kuajiriwa inakupasa kuwa mnyenyekevu ili uishi
 
Mkuu mkono mtupu haurambwi ulitakiwa kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…