Watu wanasema huyu ni mzungu wa mchongo πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana Liberals unaowachukia wanazidharau tu dini
 
Promo ya utapeli mpaka kwenye dini,hapo ibada ijayo wanawake watajaa na wenyewe wapate mzungu.Ujinga wa waafrika ni mzigo yaani unaona kabisa huu ni utapeli wa wazi ila unakaza fuvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…