Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Watu wengi ukiwauliza Hilo swali atakujibu Mimi ni Aisha John Mpambalyanga ,mjukuu wa Thabiti.
Kimsingi mtu SI JINA LAKE!!
ndio maana tuna Aisha wengi duniani,au tuna Aisha John wengi vile vile!!
Na bado wao SIO mtu mmoja!!

Miongoni mwa tafsiri ya jina namna TU ya kurahisisha uitaji na uitikaji!!
Kwenye nadharia za lugha, tunasema majina hurejelea tu kifaa fulani!!
Ndio maana kifaa cha kusafisha meno kinaitwa mswaki kwa kiswahili na kiingereza kinaitwa toothbrush,kichina wanakiita vingine
nadhariaa ,
Hii ni kusema kitu/mtu CHOCHOTE/YEYOTE kinaweza/anaweza kuitwa VYOVYOTE.
 
Kudos Da'Vinci ....

Who Am I?
Apart from all the identities, I have that describe me, am still finding myself....
Thank you, for the reminder!
Mkuu ukishajiuliza hayo maswali hapo juu basi utagundua kua mtu ni kusudi/Purpose ili ujue kusudi lako inabidi umuulize Mungu kusudi lako ni lipi?
 
Watu wengi ukiwauliza Hilo swali atakujibu Mimi ni Aisha John Mpambalyanga ,mjukuu wa Thabiti.
Kimsingi mtu SI JINA LAKE!!
ndio maana tuna Aisha wengi duniani,au tuna Aisha John wengi vile vile!!
Na bado wao SIO mtu mmoja!!

Miongoni mwa tafsiri ya jina namna TU ya kurahisisha uitaji na uitikaji!!
Kwenye nadharia za lugha, tunasema majina hurejelea tu kifaa fulani!!
Ndio maana kifaa cha kusafisha meno kinaitwa mswaki kwa kiswahili na kiingereza kinaitwa toothbrush,kichina wanakiita vingine
nadhariaa ,
Hii ni kusema kitu/mtu CHOCHOTE/YEYOTE kinaweza/anaweza kuitwa VYOVYOTE.
Wewe sio jina jina sio wewe..
Jina ni kama kitambulisho chako tu ili watu waweze kukuita pia wewe kuweza kujitambulisha..
 
Da'Vinci

Swali lako zuri, lakini una assumptions nyingi potofu ambazo zinakupeleka pasipo.

1. Una assumption kwamba kuna Mungu
2. Una assumption kwamba Biblia ina majibu
3. Una assumption kwamba purpose nikitu cha lazima

Assumptions zote hizi ni potofu. Na kwa sababu umeanza na assumptions potofu, huwezi kupata jibu lenye umakini.
 
Unaweza kuthibitisha hizo Assumptions potofu..?
 
Asante chief kwa uzi mzuri,
hakika kujijua ni moja kati ya hatua muhimu ktk kufikia pale unataka kufika,

ila tatizo linakuja ni moja tu...KUFIKIRI, watu wengi ni wavivu sana kufikiri,

ngoja tuendelee kuelimishana ili tujijue zaidi.
Pamoja sana mr miller
 
Da'Vinci

Swali lako zuri, lakini una assumptions nyingi potofu ambazo zinakupeleka pasipo.

1. Una assumption kwamba kuna Mungu
2. Una assumption kwamba Biblia ina majibu
3. Una assumption kwamba purpose nikitu cha lazima

Assumptions zote hizi ni potofu. Na kwa sababu umeanza na assumptions potofu, huwezi kupata jibu lenye umakini.
sitaki kuwa upande wowote hapa ila nimejaribu kumuelewa Da'Vinci na ametuelimisha kulingana na uelewa wake na References zake,

na wewe pia unaweza ukawa na mawazo yako (assumptions) ambazo either zikakubaliana hizi au zikapingana...muhimu ni tuwekee hapa tuzidi kufungua fahamu zetu,

2. Biblia inaweza ikawa na majibu na isiwe na majibu inategemea na wewe msomaji.

3. Purpose inaweza isiwe kitu cha lazima kwa mtazamo wako lkn inaweza ikawa ni muhimu pia....sitaki kuamini kama kuna mtu anaweza kulala asiwe na hata jambo moja analonia kulifanya kesho yake au siku za usoni baadae!

mimi ni mtazamo wangu huu....nipo hapa kukosolewa na kujifunza pia.
 
Back
Top Bottom