Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Watu wanasema Mimi ni nani?? The Best question of all time ukipata majibu ya hili swali basi utakuwa na mafanikio makubwa kwenye maisha yako
 
Unamaanisha nini ndugu??
Mkuu, Mimi ni mkristo nasoma Hilo andiko miaka nenda Rudi. Sijawahi fikiria hi I ulivyoandika. In 2018 tragedy occupied my carrier. Had I had passed this thread, I would have rejuvenated eventually tragedy, so, would have missed my carrier.
 
Pole sana Sir, but kila kitu kinatokea kwa kusudi fulani kwa sie tuaminio. Natumaini kuna kusudi la wewe kuona topic hii leo. Hujachelewa to recalibrate your past!
Twaweza shauriana hapa hapa kama hutajli
 
Back
Top Bottom