Mwamba 3
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 253
- 285
Umenikumbusha Mbali :
# Kuna mtu wa makamo aliwahi kuniambia " Mimi ni kijana mwenye hekima na busara kitu ambacho ni adimu kwa vijana wa leo " . Nilipojitathimini nikagundua ni kweli
# Mwanamke mmoja amewahi kuniambia "Wewe Abraham ni kijana mwenye mvuto sana , uko smart sana , hupendi kuzoeana ovyo ovyo na mtu, so intelligent kiasi kwamba hakuna binti yeyote utakayemtamka kimapenzi atakukataa " Moyoni nikaona ni kweli .
#Kuna mtu pia amewahi kuniambia " Mimi ni Mtumishi Mkubwa sana kwenye Ufalme wa Mungu" . Nilishangaa maana hatukuwahi kuwa na mahusiano naye ya karibu . Hata hivyo ni kweli napenda sana kumtumikia Mungu .
ZINGATIA HAYA
(1) Wewe mwenyewe ni lazima ujifahamu na kujijua zaidi ya mtu mwingine yeyote akujuavyo .
(2) Ni lazima uthibitishe kwa watu kuwa jinsi ujionavyo ndivyo wakuonavyo .
Usishangae nikijakuwa Mwalimu mkubwa na mzuri sana wa Kweli ya Mungu yaani Neno la Mungu .