Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Umenikumbusha Mbali :
# Kuna mtu wa makamo aliwahi kuniambia " Mimi ni kijana mwenye hekima na busara kitu ambacho ni adimu kwa vijana wa leo " . Nilipojitathimini nikagundua ni kweli

# Mwanamke mmoja amewahi kuniambia "Wewe Abraham ni kijana mwenye mvuto sana , uko smart sana , hupendi kuzoeana ovyo ovyo na mtu, so intelligent kiasi kwamba hakuna binti yeyote utakayemtamka kimapenzi atakukataa " Moyoni nikaona ni kweli .

#Kuna mtu pia amewahi kuniambia " Mimi ni Mtumishi Mkubwa sana kwenye Ufalme wa Mungu" . Nilishangaa maana hatukuwahi kuwa na mahusiano naye ya karibu . Hata hivyo ni kweli napenda sana kumtumikia Mungu .

ZINGATIA HAYA
(1) Wewe mwenyewe ni lazima ujifahamu na kujijua zaidi ya mtu mwingine yeyote akujuavyo .
(2) Ni lazima uthibitishe kwa watu kuwa jinsi ujionavyo ndivyo wakuonavyo .

Usishangae nikijakuwa Mwalimu mkubwa na mzuri sana wa Kweli ya Mungu yaani Neno la Mungu .
 
Kwelii kabisa mkuu na hongera kwa hilo na kujitambua ulivyo mate.
Wengine sisi ni mikosi kwenye jamii zetu
 
Family comes first, kama kichwa cha familia unatakiwa kuwa pamoja na familia yako muda kuilinda, Kuihudumia na kuiongoza..You can't protect the family if you're not with the family.

Duty comes second...As Kiongozi wa familia Timiza wajibu wako katika familia kama kichwa wa familia anavyotakiwa kua..Hatma ya familia ipo mikononi mwako. Kama Kiongozi fanya wajibu wako uweze kuivusha KIUCHUMI,KIAKILI,KIIMANI NA KIJAMII.

Then Honor.. Ukiyatimiza hayo utapata heshima yako unayostahili kama kichwa wa familia. Utazeeka ukiwa una uso ulio na afya njema maana familia yako itakua mikononi salama mwa mtu uliyemrithisha maneno hayo. Family Duty and Honor.
We all want to belong to something...We belong to the family.. Our family that we care and love
 
Hata Facts itafanya hivyo
We Youths, tufanye mambo yatakayo acha sifa nzuri kwenye jamii na kuacha alama za kudumu. Sio mtu una miaka 50 halafu jambo kubwa ulilofanya kwenye jamii ni kuacha watoto wengi kwa mama tofauti tofauti ambao hawajui thamani yako kama baba.. Pengine wanajuta kuja duniani kupitia kwa baba usiejali kama wewe..Unadhani jamii itakukumbuka kwa kua na mademu wengi mtaani?

Kila ukitaka kulala fikiria siku ukifa Jamii unayoishi itabaki inakukumbuka kwa lipi?
Ulikuja duniani kulewa tu kisha ufe au ulikuja ili uwe msaada na nuru kwa wanadamu wenzio?
Ishi vyema. Huku ukiiwazia siku utakayokua haupo ulimwenguni watu watadaidika nini na uwepo wapo huo.
 
Jiulize sasa wewe ni nani?

1. Je ! Wewe ni jina ulilopewa na wazazi wako la mababu zako au jina mizimu ya kiarabu au kiyahudi uliyopewa baada ya kupewa.dini yao?
Je! Ukibadili dini na.kubadili jina utaendelea kuwa wewe?

2. Je ! Wewe ni nguo unazovaa hata ukiwa mbali watu wanajua yule fulani ? Je! Ukibadilisha mavazi au mfumo.wa.uvaaji itaendea luwa wewe?
 
Mimi naamini kwamba mimi ni yule na vile ninavyojisikia ndani mwangu. Na sio jina l, dini, wala kabila langu. Japo Hivyo ni baadhi ya vitu vinavyoongezea kukujulisha wewe ni nani
2. Je ! Wewe ni nguo unazovaa hata ukiwa mbali watu wanajua yule fulani ? Je! Ukibadilisha mavazi au mfumo.wa.uvaaji itaendea luwa wewe?
Nadhani kila mavazi yana identity yake, hivyo basi ukiavaa mavazi fulani utajulikana wewe ni nani na sio jina lako nani.
 
Weka kifungu na sura wapi yesu aliuliza haya. ??
Yohana 18:37-38
[37]Basi Pilato akamwambia, Wewe u mfalme basi? Yesu akajibu, Wewe wasema, kwa kuwa mimi ni mfalme. Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya, na kwa ajili ya haya mimi nalikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli hunisikia sauti yangu.
[38]Pilato akamwambia, Kweli ni nini?
 
1. Una assumption kwamba kuna Mungu - Mungu huyu unayemsema habari zake zina contradictions nyingi sana kiasikwamba kuamini yupoinabidi ujitoe akili, chiefly being the problemof evil

2. Una assumption kwamba Biblia ina majibu - Biblia ina contradictions nyingi sana kiasikwamba kuiamini inabidi ujitoe akili, ukiwasoma wataalam wa Biblia kama Professor James L Kugel, mtaalam wa Biblia na masomoya Kiyahudi aliyefundisha mpaka Harvard, utaona Bibliani maandiko ya watu tu, wanaosemwa wameandikahawajaandika, ime badilishwa mara nyingi sana, habari nzimaza kuwapokwaMungu na kuumbwa kwa Adam niza kutungwa tu.

3. Una assumption kwamba purpose nikitu cha lazima - Ukisoma Quantum physics utaona kwamba at the core of this universe, probabilities rule, not purpose.
2kb
 
Yesu Mwenye alipoulizwa yeye ni nani alijibu hivi.

Mathayo 11:1
Ikawa Yesu alipokwisha kuwaagiza wanafunzi wake kumi na wawili, alitoka huko kwenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao.

2 Naye Yohana aliposikia huko gerezani matendo yake Kristo, alituma wanafunzi wake, kumwuliza,

3 Wewe ndiwe yule ajaye, au
tumtazamie mwingine?

4 Yesu akajibu akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona;

5 vipofu wanapata kuona, viwete wanakwenda, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.

6 Naye heri awaye yote
asiyechukizwa nami.
 
1. Una assumption kwamba kuna Mungu - Mungu huyu unayemsema habari zake zina contradictions nyingi sana kiasikwamba kuamini yupoinabidi ujitoe akili, chiefly being the problemof evil

2. Una assumption kwamba Biblia ina majibu - Biblia ina contradictions nyingi sana kiasikwamba kuiamini inabidi ujitoe akili, ukiwasoma wataalam wa Biblia kama Professor James L Kugel, mtaalam wa Biblia na masomoya Kiyahudi aliyefundisha mpaka Harvard, utaona Bibliani maandiko ya watu tu, wanaosemwa wameandikahawajaandika, ime badilishwa mara nyingi sana, habari nzimaza kuwapokwaMungu na kuumbwa kwa Adam niza kutungwa tu.

3. Una assumption kwamba purpose nikitu cha lazima - Ukisoma Quantum physics utaona kwamba at the core of this universe, probabilities rule, not purpose.
Ulichokiandika unakielewa?
 
Back
Top Bottom