Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Nakumbuka Yesu aliwauliza pia wanafunzi wake "na nyinyi mnasema mimi ni nani?"

Lakini katika dunia ya leo iliyojaa kujitukuza na kujikweza hasa watawala wetu, hawezi kutoa uhuru wa watu waseme wanavyojua na kumwelewa bali atataka wamtaje kwa vile anavyotaka yeye na pia akiwauliza hilo swali basi ataandaa majibu wamtaje anavyotaka.

Yesu alikuwa mtu wa pekee kabisa, kuna mahali anaulizwa "watu wanataka kujua wewe ndo yule tuliyekuwa tunamsubiria au tuendelee kusubiri?" anawajibu enendeni mkawasimulie mnayoyaona na kuyasikia, vipofu wanaona, viziwi wanasikia na viwete wanatembea" haya yote yanadhihirisha utukufu, hakuna shaka kabisa kuwa huyu ndo alikuwa anasubiriwa kwa hamu.

Lakini wakiulizwa baadhi ya viongozi wetu hilo swali itakuwa ni gumu kujibu kwa sababu kuna mchanganyiko wa mema na mabaya, mfano akisema enendeni mkawaeleze mnayoyasikia na kuyaona, ndege zinanunuliwa na kufanya kazi, flyover zinajengwa, watu wanapigwa risasi, wengine kupatikana kwenye viroba na wengine kupotea kabisa, madawa yanapatikana hospitalini, watu wanahama vyama kuunga mkono juhudi, wala rushwa wanatumbuliwa na wengine kupelekwa selo miaka, hakuna ruksa kufanya siasa etc hapa ndo kutakuwa na utata maana watashindwa kuelewa kama kweli "huyu ndiye" alikuwa anasubiriwa au!!!
 
Kwa kweli sijajijua mimi ni nani hasa maana watu wanavyoniona ni tofauti na uhalisia ninaouona mimi. Kwa hiyo niko dillema. Sijui mimi ni yule watu wanasema au mimi ambaye mimi najiona.
 
Wewe ni yule mtu majirani wanayemuongelea. Fanya zoezi pita mtaani uulize kuhusu mtu fulani uone majibu
 
Nakumbuka Yesu aliwauliza pia wanafunzi wake "na nyinyi mnasema mimi ni nani?"

Lakini katika dunia ya leo iliyojaa kujitukuza na kujikweza hasa watawala wetu, hawezi kutoa uhuru wa watu waseme wanavyojua na kumwelewa bali atataka wamtaje kwa vile anavyotaka yeye na pia akiwauliza hilo swali basi ataandaa majibu wamtaje anavyotaka.

Yesu alikuwa mtu wa pekee kabisa, kuna mahali anaulizwa "watu wanataka kujua wewe ndo yule tuliyekuwa tunamsubiria au tuendelee kusubiri?" anawajibu enendeni mkawasimulie mnayoyaona na kuyasikia, vipofu wanaona, viziwi wanasikia na viwete wanatembea" haya yote yanadhihirisha utukufu, hakuna shaka kabisa kuwa huyu ndo alikuwa anasubiriwa kwa hamu.

Lakini wakiulizwa baadhi ya viongozi wetu hilo swali itakuwa ni gumu kujibu kwa sababu kuna mchanganyiko wa mema na mabaya, mfano akisema enendeni mkawaeleze mnayoyasikia na kuyaona, ndege zinanunuliwa na kufanya kazi, flyover zinajengwa, watu wanapigwa risasi, wengine kupatikana kwenye viroba na wengine kupotea kabisa, madawa yanapatikana hospitalini, watu wanahama vyama kuunga mkono juhudi, wala rushwa wanatumbuliwa na wengine kupelekwa selo miaka, hakuna ruksa kufanya siasa etc hapa ndo kutakuwa na utata maana watashindwa kuelewa kama kweli "huyu ndiye" alikuwa anasubiriwa au!!!
Ahsante sana mkuu umeongezea kitu ambacho nilisahau kukiweka. Ahsante
 
Wewe ni yule mtu majirani wanayemuongelea. Fanya zoezi pita mtaani uulize kuhusu mtu fulani uone majibu
Basi itakuwa kujihofia kwangu. Watu wengi sana wananichukulia wanasema nina akili nyingi mno kwamba eti mimi ni genious. Kuna waliodiriki kusema eti mimi kuzaliwa zama hizi nipo kimakosa kwa sababu namna yangu ya kufikiri ni tofauti na watu wengi kwa sasa, wakiwa na maana kuwa nimezaliwa katika wrong generation. Kila mtu ninayepata nafasi ya kuongea naye kuhusu maisha na mambo ya kiroho huishia kusema kuwa mimi siyo binadamu wa kawaida. sasa mimi huwa nashindwa kuelewa, kwa nini? Japo pia hata mimi naona niko viziri but sio katika level ambayo wao wanasema mimi niko. Labda kuna mahala nakosea katika kukifikia kile watu wanasema.
Wacha niendelee kuishi.
 
Hongera mkuu jaribu kujiuliza hayo maswali pale juu uone utapata majibu gani..kisha kama wamwamini Mungu muombe utafunuliwa kwani yeye ndio anakufaham zaidi
 
Hongereni
Namshukuru Mungu leo nimetoa mzigo mzito uliokuwepo kichwani toka mwezi wa 2 nilikua nafikiria kuandika hiki kitu japo nimeandika kwa uchache kulinganisha na kile nachofahamu.
Natamani vijana wenzangu wote wapate elimu ya kujitambua ila hawapendi kusoma.
Natamani ningekua nakipaji cha kuzungumza vizuri .
Uwe unani tag mkuu
 
Da'Vinci ahsante kwa bandiko zuri. Marekebisho kidogo tu, kwenye rejea zako kitabu kinaitwa "The Purpose Driven Life"

Mie hua najiuliza siku nikifa marafiki, ndugu, jamaa, na wote wanaonifaham watabaki na kumbukumbu gani au watanielezeaje?

Najaribu kyangalua maisha nnayoishi, ntapenda yaache ushuhuda wa aina gani?
 
Nakumbuka Yesu aliwauliza pia wanafunzi wake "na nyinyi mnasema mimi ni nani?"

Lakini katika dunia ya leo iliyojaa kujitukuza na kujikweza hasa watawala wetu, hawezi kutoa uhuru wa watu waseme wanavyojua na kumwelewa bali atataka wamtaje kwa vile anavyotaka yeye na pia akiwauliza hilo swali basi ataandaa majibu wamtaje anavyotaka.

Yesu alikuwa mtu wa pekee kabisa, kuna mahali anaulizwa "watu wanataka kujua wewe ndo yule tuliyekuwa tunamsubiria au tuendelee kusubiri?" anawajibu enendeni mkawasimulie mnayoyaona na kuyasikia, vipofu wanaona, viziwi wanasikia na viwete wanatembea" haya yote yanadhihirisha utukufu, hakuna shaka kabisa kuwa huyu ndo alikuwa anasubiriwa kwa hamu.

Lakini wakiulizwa baadhi ya viongozi wetu hilo swali itakuwa ni gumu kujibu kwa sababu kuna mchanganyiko wa mema na mabaya, mfano akisema enendeni mkawaeleze mnayoyasikia na kuyaona, ndege zinanunuliwa na kufanya kazi, flyover zinajengwa, watu wanapigwa risasi, wengine kupatikana kwenye viroba na wengine kupotea kabisa, madawa yanapatikana hospitalini, watu wanahama vyama kuunga mkono juhudi, wala rushwa wanatumbuliwa na wengine kupelekwa selo miaka, hakuna ruksa kufanya siasa etc hapa ndo kutakuwa na utata maana watashindwa kuelewa kama kweli "huyu ndiye" alikuwa anasubiriwa au!!!
Umechambua vizuri mkuu hongera umeongeza vizuri na kufanya mada kuendelea kuwa nzuri
 
Da'Vinci ahsante kwa bandiko zuri. Marekebisho kidogo tu, kwenye rejea zako kitabu kinaitwa "The Purpose Driven Life"

Mie hua najiuliza siku nikifa marafiki, ndugu, jamaa, na wote wanaonifaham watabaki na kumbukumbu gani au watanielezeaje?

Najaribu kyangalua maisha nnayoishi, ntapenda yaache ushuhuda wa aina gani?
Ahsante kwa kunikosoa msamaria mwema.
Naam mkuu ukianza kujiuliza hivo basi umefika hatua nzuri mno ya kubadirika, kama unataka kuacha historia nzuri hapa duniani hebu shika amri kuu ya mapendo uone jinsi maisha yako yatakavyo badirika.
 
Back
Top Bottom