Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

jesus never existed,plain and simple
what is wrong with you black people!!!
Naomba mnisaidie kumjua huyo mtu aliyetunga habari za Yesu mnazareti,kwani uwezo wake haukua wa kibinaadamu,hivi aliwezaje kutunga hadithi ya Mtu mkamilifu vile,ambae aliishi kwa uwezo wa ajabu,nisaidieni nimjue mtu huyo ili nimwabudu Mungu kupitia yeye,na hata kama Mungu hayupo nimwabudu huyo kwa hadithi yake ya ajabu ya kisa cha Yesu aliyemwita mwana wa Mungu aliye juu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu sitaki uweke makazi kule unaharibika
Usisahau kunitag machapisho yako vinci!... Nakutana na tag za MMU mpaka mepazoea kure!..
 
Asante sana kwa maneno yenye hekima usikuu huu.

Lazima tujiulize sisi ni akina nani?..
 
Na mji wowote au kijiji chochote mtakachoingia tafuteni ni nani humo aliye mtu mwaminifu mkae kwake hata mtakapotoka [emoji120][emoji10]

Asante babe wa shunie kwa neno zuri kwa usiku huu ubarikiwe sana
[emoji10]
wewe tena!.🙂
 
Morogoro after Gairo going Dom.. Full manyama nyama!..
Kumbe karibia na Dom pia kuna mbande ulivyonitajia manyama nyama yaani umeshanivuruga napenda nyama mm
 
Back
Top Bottom