Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Inaendelea lini Mkuu, maake nimesoma nikiwa nimetulia sana ndo maan imeisha mapema.
 
Nikipata muda nitaandika upande mwingine tena. Waweza kuona ni andiko dogo ila limenichukua muda sana kuliandaa na kuhakikisha wengine wanaelewa!
 
Na mimi nina sentensi yangu ninayo amini itawabadilisha wengi na kuwafungua akili. Jambo ambalo ni kubwa zaidi itawasaidia watu kutubu dhambi ya uongo waliyoitenda kwa kurithishana kwa miaka mingi (miaka nenda rudi) Sentensi yenyewe ni hii, "Yesu/Mungu wa Biblia sio Issa SA wa Kuran." Na kinyume chake,/ The opposite is true kuwa "ISSA sa WA QURAN SIO YESU/MUNGU WA BIBLE."
 
Na mimi nina sentensi yangu ninayo amini itawabadilisha wengi na kuwafungua akili. Jambo ambalo ni kubwa zaidi itawasaidia watu kutubu dhambi ya uongo waliyoitenda kwa kurithishana kwa miaka mingi (miaka nenda rudi) Sentensi yenyewe ni hii, "Yesu/Mungu wa Biblia sio Issa SA wa Kuran."
Na kweli siyo Issa SA wa Kuran, maana Mungu ndiye anayewajua walio wake.
 
Bandiko lako limekuja wakati nikiwa katika tathmini ya kujijua tangu ni baini mimi si mimi ninayejidhania ni mimi. Nikikatwa miguu, nitasema mimi sina miguu, hata wakinikata kiwiliwili kibaki kichwa nitasema mimi sina kiwiliwili sasa mimi ni nani.
Hata katika bandiko lako bado swali bado limelenga muonekano na matendo mambo ambayo ni matokeo ya mwili lakini mimi ni nani kama kuna matendo natenda huku siyapendi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe waonaje?

Kwa miaka hamsini ya mwanzo ya kile tunachokiita hivi sasa zama za Ukristo, hakuna hata neno moja lililosalimika katika nyaraka yoyote ile juu ya Kristo na wafuasi wake.

Katika kipindi cha miaka hamsini iliyofuatia, Wakristo wenyewe waliandika vitabu vingi ambavyo kwa sasa vinaunda Agano Jipya.

Lakini bado hakuna neno hata moja, pamoja na kuyatoa kidogo, lililotoka nje ya mwandishi. Na baadaye, katika karne ya pili, mamlaka ya Roma ilianza kueleza:[1]

“Kuna kundi, lililochukiwa, kwa sababu ya chuki zao, lililoitwa Wakristo na watu wengine. Christus, amboa kutokana na wao ndio limepatikana jina Ukristo, waliteseka kwa adhabu kali mno katika kipindi cha utawala wa Tiberius mikononi mwa mmoja wa maofisa wetu, Pontius Pilate.” (Tacitus).

“Wakristo ni kundi la watu walioleta ushirikina na uovu mpya.” (Seutonius).

“Maskini, mafukara waliojikinaisha kuwa hawafi na wataishi milele, kwa kuabudu ghiliba aliyesulubiwa na kwa kuishi chini ya sheria zake. Kwa hiyo, wao wanadharau vitu vya dunia hii, na kuvichukulia kuwa ni mali ya uma. Wao wamepokea imani hii toka katika tamaduni bila kuwa na ushahidi unaotambulika. Kwa hiyo, kama tapeli au laghai yoyote atatokea miongoni mwao, basi kwa haraka haraka atapata utajiri kwa kuwaamuru watu hawa duni.” (Lucian)

Bila kujali, Ukristo umeshastawi na kuwa moja ya dini kuu, lakini mafundisho ya Ukristo wa kisasa kama tunavyoujua leo hii, yapo tofauti na kile kilichofundishwa na Yesu (AS) kwa wanafunzi wake.

Imani tofauti za Ukristo kama vile Utatu iliendelezwa baadae. Motisha wake ulianza katika kipindi cha utawala wa Mfalme Mkuu Constantine huko (Nicasea) na baadaye uliendelezwa katika imani kamili ya kuamini bila kuhoji (dogma) wakati wa utawala wa Mfalme Theodosius mwaka 381 C.E.

Ajabu ilioje! Kuanzia hapo, Ukristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume. Wao wanaegemeza mafundisho yao juu ya Biblia ambayo yenyewe ni mada inayoendelea kurekebishwa.

Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).

Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.

Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.

Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”

Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu ispokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”

Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.

Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86; Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76; Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73; na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.

Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:

(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”

(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”

Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).”

Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.

Hata hivyo, kutokana na nukuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):

"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."

Na katika (Yohana 21:24):

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"

Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.

Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:

“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata. Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”[2]

Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.”[3]

[1] Bamber Gascoigne: “The Christians”, Granada Publishing Limited, 1976, Frogmore, St Albans, Herts A12 2NF and 3 Upper James Street, London Wir 4BP, p.9.

[2] J.R., dummelow: Commentary on the Holy Bible, p. 16. – (see – Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad: “Islam and Christianity”, 1984, Presidency of Islamic Research IFTA and Propagation, Riyadh, Kingdom of Saud Arabia p.7).

[3] T.G. Tucker: The History of The Christian in the Light of Modern Knowledge, p. 320. (Ibid, p. 6).

una stress sana kiongozi
 
Back
Top Bottom