Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ???
Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ??
Yaani maendeleo yawe kwa bandari zote za Tanganyika lakini za Zanzibar haipo hata moja ??
ZANZIBAR NI WASHINDANI WA KIBIASHARA WA TANGANYIKA
Hapo hakuna nchi moja bali kuna nchi mbili ndio maana hata CCM ina ilani mbili
Kama kuna Zanzibar lazima Tanganyika iwepo