Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Ndio maana Jiwe Mwamba alikuwa HATAKI kuchekeana na nyani! Hata Lissu analijua vizuri hilo!Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ???
Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ??
Yaani maendeleo yawe kwa bandari zote za Tanganyika lakini za Zanzibar haipo hata moja ??
ZANZIBAR NI WASHINDANI WA KIBIASHARA WA TANGANYIKA
Hapo hakuna nchi moja bali kuna nchi mbili ndio maana hata CCM ina ilani mbili
Kama kuna Zanzibar lazima Tanganyika iwepo
ZANZIBAR NI WASHINDANI WA KIBIASHARA WA TANGANYIKAShukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ???
Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ??
Yaani maendeleo yawe kwa bandari zote za Tanganyika lakini za Zanzibar haipo hata moja ??
ZANZIBAR NI WASHINDANI WA KIBIASHARA WA TANGANYIKA
Hapo hakuna nchi moja bali kuna nchi mbili ndio maana hata CCM ina ilani mbili
Kama kuna Zanzibar lazima Tanganyika iwepo
Hili ndio jibu,walitumia ukali wa Magufuli kufanya tukio na kumwangushia jumba bovuKuna mdau alisema inawezekana lissu alipigwa risasi na maadui wa magufuli ndani ya ccm ili kumgombanisha magufuli na Wananchi
Nani alaumiwe samia au nyerere?KWA SWALA LA BANDARI ZANZIBAR NI WASHINDANI WETU SAWA NA MOMBASA.
Kinyume na ukweli kwamba kuna masuala ya na yasiyo ya muungano
Huku Tanganyika kila kitu chake kimekuwa ndio cha muungano wenyewe
Swala la UJENZI na uchukuzi sio swala la Muungano
Yaani Mbunge kutoka Zanzibar anakuja kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi huku Tanganyika
Wakati huo huo MAMLAKA ya bandari ya Zanzibar ni mshindani mkubwa kwa MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA kama ilivyo ya Mombasa
Na pia MAMLAKA ya viwanja vya ndege Zanzibar ni Washindani wa MAMLAKA YA ndege ya TANZANIA..