Watu wanasukuma Magari ya bei mbaya sana hapa DSM inaonekana nchi imeshafnguliwa tayari.

Watu wanasukuma Magari ya bei mbaya sana hapa DSM inaonekana nchi imeshafnguliwa tayari.

Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana .

Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
Umeona Gwagon ya Lugumi nini? Umeona Range 2024 Autobiography? Umeona LC 300 Uchafu? Cadillac Escalade ,Bentley ,Sijaona Astom Martin ,Sijaona Maybach ,Sijaona Royce Rolls.
 
Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana .

Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
Sasa imagine Bashite anagawa tu zawadi za Range anamtaja wazi wazi Bibi wa Kizimkazi kuwa wameshirikiana, kama siyo Uhuni na wizi wa mchana kweupe ni kitu gani?
 
Wacheni watu wafurahie matunda ya matumizi ya akili zai...hata kama mafisadi...😂😂😂

Yeah ni vizuri mkuu sijapinga ,napenda sana watu wa DIZAINI kama hao ,wanatupa hasira kwamba kila kitu kinawezekana ,Big Up pia kwa chifu godilavu ,Lugumi amempa Chifu Gudilavi milioni 25 kisha akamwambia nenda KAWANYOOSHE mtaani hahaaaaa.
 
Back
Top Bottom