Watu wanene (vibonge) ni waungwana sana ila wengi ni matapeli

Watu wanene (vibonge) ni waungwana sana ila wengi ni matapeli

Ma Biggie ni wakarimu sana ila baadhi yao ndo wanawaharibia hasa wale madalali. Ukimkuta dalali halafu biggie juwa kukuuzia chumba chenye utata ni uhakika sema wana roho ya kuaminika ambayo wakiitumia vibaya inawaharibia sana.
Halafu huwezi kukuta bonge ananuka domo.

Tofauti na hawa misumari.
 
Halafu huwezi kukuta bonge ananuka domo.

Tofauti na hawa misumari.
Kuna biggie aliwahi kuja biasharani kwangu akaona nimeyumba ila alinikubali sana. Akataka kuniazima laki 4 nibusti mtaji sema nilikataa nikamwambia anipe nusu yake tu na kweli alinipa nikaongeza mtaji. Ni mtu hatujuani kabisa ila tulipopiga story akagundua tumekulia maeneo ya karibu japo hatukuwahi kufahamiana.
 
Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye smuggling ni kugusa tu.

Ongeza umakini unapokutana na dalali bonge.

View attachment 2557290
Au fundi bonge, wengi ni noma sana.

Sisemi kwamba ni matapeli ila ni watu wa dili balaa, unaweza pewa vifaa vya dili, spare za dili etc...
 
Back
Top Bottom