BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Halafu huwezi kukuta bonge ananuka domo.Ma Biggie ni wakarimu sana ila baadhi yao ndo wanawaharibia hasa wale madalali. Ukimkuta dalali halafu biggie juwa kukuuzia chumba chenye utata ni uhakika sema wana roho ya kuaminika ambayo wakiitumia vibaya inawaharibia sana.
Basi una komwe.Sijawahi kuwa bonge mkuu...sor
ππππNini bhana! Niache mwenzio π€Basi una komwe.
Kuna biggie aliwahi kuja biasharani kwangu akaona nimeyumba ila alinikubali sana. Akataka kuniazima laki 4 nibusti mtaji sema nilikataa nikamwambia anipe nusu yake tu na kweli alinipa nikaongeza mtaji. Ni mtu hatujuani kabisa ila tulipopiga story akagundua tumekulia maeneo ya karibu japo hatukuwahi kufahamiana.Halafu huwezi kukuta bonge ananuka domo.
Tofauti na hawa misumari.
HahahaSijawahi kuwa bonge mkuu...sor
HahahaNini bhana! Niache mwenzio
Unene hauna muunganiko na uhuni wa Mtu
Baadhi nawaona wanapinga sana hoja za mtoa mada, nazani watakuwa wenyewe [emoji2]Hapa ndio taratibu tutajua watu wembamba na wale wanaomiliki vitambi na miili mikubwa
Au fundi bonge, wengi ni noma sana.Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye smuggling ni kugusa tu.
Ongeza umakini unapokutana na dalali bonge.
View attachment 2557290