Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM.

HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu.

CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.

Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka.

Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye huu uchaguzi zaidi ya hili Bango.

Anayoyasema Lissu sasa yanatimia kwa vitendo.

Mungu fundi sana

Source: Akaunti ya Mdude kwenye mtandao wa X.
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
 
Hii sio simple issue, ni great issue of public concern, especially wale ambao wapo na critical minded.

Salary anatakiwa apongezwe kwa huu Uzi

Watu wenye narrow minded kama wewe mnaona Uzi huu hauna Maana.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄πŸš΄
 
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Hosea 4:6
 
Mbowe Bora stoke,maana hata mdahalo wa Startv,kaingia mitini kuonyesha kuwa hana jipya mbali na sura yake!
 
Kaaulize maana ya narrow minded kama ni matusi.
Ni watu wenye uwezo mdogo .

The type of people who are not capable to think criticaly kama wewe.
Sio tusi hamna Matusi hapo.πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸš΄πŸš΄πŸ€”πŸ€”
Muache aweweseke,!Bango Hilo tafsiri yake, hakuna upinzani SM Na CDM ni sawa!
 
Haahaa mbowe anavyotetea maridhiano hatari
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Wewe ni team Mbowe na tunakujua kwahiyo hutusumbui.
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Mkuu huwezi kuijua akili ya mtu mpaka aongee au aandike. Huo ndio uwezo wake wa akili! πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Kafa kidhamira
Kafa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…