So hapo alikuwa anafanya nini Lissu?Hii sio ya maridhiano yenye tuhuma za mlungula kama.ile ya Mbowe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So hapo alikuwa anafanya nini Lissu?Hii sio ya maridhiano yenye tuhuma za mlungula kama.ile ya Mbowe.
Daktari HEWA naona una SHIDA YA AFYA YA AKILI, umebakiza kuvua nguo na kutembea UCHI.Kwahiyo tulete na bango la Lisu na Samia Belgium?
Hivi nyinyi mna akili kichwani au mna mavi kichwani.
Labda anaenda kuchukua Umakamu hukoKuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM.
HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu.
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.
Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka.
Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye huu uchaguzi zaidi ya hili Bango.
Anayoyasema Lissu sasa yanatimia kwa vitendo.
Mungu fundi sana
View attachment 3204920
Source: Akaunti ya Mdude kwenye mtandao wa X.
Sasa mimi kujibishana na mpumbavu kama wewe usiyejuwa tofauti ya PhD na PHD ni kupoteza muda wangu bure tu.Daktari HEWA naona una SHIDA YA AFYA YA AKILI, umebakiza kuvua nguo na kutembea UCHI.
Inaonekana somo la LOGIC limekupitia mbali, kama wewe Daktari ni kati ya wale wapuuzi ambao Huwa wanaandikiwa tasnifu Thesis/😃😃😅😃😅😃
Hongera sana naona PHD Yako ulisomea UJINGA 🤣🤣🤣😅😅🤔🤔🚴🚴🚴🚴🚴
Yaani I don't see any logic katika vitu unavyopost.Sasa mimi kujibishana na mpumbavu kama wewe usiyejuwa tofauti ya PhD na PHD ni kupoteza muda wangu bure tu.
Kukujibu mpumbavu kama wewe ni bonus tu kwako.Yaani I don't see any logic katika vitu unavyopost.
Instead I see LACK OF OBJECTIVITY AND PARTICULARLY 😅😅🤣😅🤣😅 nyie ndo ambao mkikaa na msukuma Joseph kasheku Mbunge darasa bla saba anaweza kuwapiga mhadhara.
Kama Taifa tumepoteza Mwelekeo kama Kuna wasomi WAPUMBAVU wa Calbar Yako wanaojiita Madaktari 🤣🤣🤣😅😅
Kweli Ujinga ni mzigo, hivi wewe kwa UHARO unapost huoni aibu kujitambulisha kama Daktari??🤔🤔🤔🚴🚴
Narudia, I don't see any logic in your post, rather than lack of OBJECTIVITY & PARTICULARLITY.....🤣😅🤣😅🤣😃😃 karibu kwa MATUSI na MANENO YA KWENYE KANGA DAKTARI HEWA 😅😃🤣😅😃🤣😅🚴🚴😅Kukujibu mpumbavu kama wewe ni bonus tu kwako.
Ukiona mtu anaandika kama bata anachanganya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi na kuweka emoji kama demu ni wa kumuhurumia tu.
Hivi ndio vitoto vya 2000 vilivyojaa ujuwaji wakati hujui kitu.
Pumbaaavuu.
Yaani hapo ni wasifu wake wale siyo tusi,ni kama vile kusema fulani ni mcheshi.Kaaulize maana ya narrow minded kama ni matusi.
Ni watu wenye uwezo mdogo .
The type of people who are not capable to think criticaly kama wewe.
Sio tusi hamna Matusi hapo.🤣😅🤣😅🚴🚴🤔🤔
B12 imewageuza wengi kichwa chini miguu juu.Retired zaman ulikuwa smart. Toka umeenda upande wa akina Ntobi naona wanakufundisha lugha za hovyo namna hii. Ndo mahaba ya Mbowe yanakufanya uwe hivi?
Kwamba Mbowe ni mwana CCM.CHADEMA anatafuta nini?Kwani hilo bango linatatizo gani?.
Ibn mbowe,hahahaMfahamu sultan ibn mbowe king'ang'anizi
View attachment 3204921
Kweli picha ni ya zamani, ila bango limetengenezwa rasmi kipindi cha Mkutano Mkuu wa dharura wa hao jamaa wakimchagua Makamu wao. Zimesambaa kila sehemu muhimu ya Jiji la Dodoma. Hongera zake jamaa kwa kazi nzuri aliyoifanya.Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
CHadema hawana huo uwezo ayo yako mavyama makubwa yenye watu smart sio hawa wahuni wahuniUkute haya yote yanafanywa kwa kuogopa Mbowe kugombea uraisi mwaka huu. Hii nchi ngumu sana. Ukiona mshindani kawaingilia inabidi mrudi nyuma muanze kumtafakari pamoja. Ana lipi jambo?
Naamini chadema wana idara zinazofanyakazi zikiwa huru, ziwasaidie viongozi wao ripoti za haya matukio na mapendekezo yao.
Hapo kwenye hilo bango Mwenyekiti alikuwa ametoka Jela hadi Ikulu kukabidhiwa kibuyu cha asali.Ngoja tuone filamu hii ya kutisha.
Wakati ni mwalimu mzuri sana. Tafadhali tunza hii slip Yako.Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM.
HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu.
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.
Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka.
Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye huu uchaguzi zaidi ya hili Bango.
Anayoyasema Lissu sasa yanatimia kwa vitendo.
Mungu fundi sana
View attachment 3204920
Source: Akaunti ya Mdude kwenye mtandao wa X.