Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mavi ya zamani ...lakini sasa ni Dhahabu....Politics ,is Who get what,When and How ✌️Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Hata mimi nashangaa sanaKweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Lissu aliyakataa n kuyalaani siku nyingiHayo si yapo hadi Mama kapiga na Lisu mabango yalitapakaa mtaani?
Haya maandishi yametoka kabisa kichwani mwako bro? Or let me put this way, "hiki ulicho kiandika, kinatoka kabisa kwenye moyo na akili yako na wewe mwenyewe unakiamini from the bottom of your heart"? Naulizs tu, sio kwa ubayaKweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
1. Issue siyo timu Mbowe or Lisu, the issue(s) is " Is there sense in what you are trying to address?Wewe ni team Mbowe na tunakujua kwahiyo hutusumbui.
Uko sahihi mzee mwenzangu! Kumbe CHADEMA tulikuwa tumejaza matakataka mengi uchaguzi huu umeyaumbua sana! Kwa akili yake anaona hiyo picha inaweza kumwangusha Mbowe! Sasa Mbowe ana uwezo gani wa kuzuia watu wasifanye publicity kwa mtazamo wao?Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Not at all. mtu akinittukana nitamtukana bila kujali consequencies! Waambie hao /huyo niliyemjubu next time ajibu hoja na si matusi. Narrow minded ni matusi makubwa. nitakujibu na nitafungiwa potelea mbali. JF siyo oxygen..I can do without it!Retired zaman ulikuwa smart. Toka umeenda upande wa akina Ntobi naona wanakufundisha lugha za hovyo namna hii. Ndo mahaba ya Mbowe yanakufanya uwe hivi?
Usijali lipo la Lissu linakuja na la heche piaKuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM.
HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu.
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.
Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka.
Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye huu uchaguzi zaidi ya hili Bango.
Anayoyasema Lissu sasa yanatimia kwa vitendo.
Mungu fundi sana
View attachment 3204920
Source: Akaunti ya Mdude kwenye mtandao wa X.
Umeona eh! Good observation...yaani wapiga kura wakiona picha hiyo wanabadiri mawazo//// strange!Uko sahihi mzee mwenzangu! Kumbe CHADEMA tulikuwa tumejaza matakataka mengi uchaguzi huu umeyaumbua sana! Kwa akili yake anaona hiyo picha inaweza kumwangusha Mbowe! Sasa Mbowe ana uwezo gani wa kuzuia watu wasifanye publicity kwa mtazamo wao?
Ni kweli hiyo picha ndogo sio ya leo, lakini hilo bango lililoambatanishwa na hiyo picha ndio kwenye kipengele hapo!!!Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
exactlyNi kweli hiyo picha ndogo sio ya leo, lakini hilo bango lililoambatanishwa na hiyo picha ndio kwenye kipengele hapo!!!
Sasa si ànadhihirisha kwamba yeye ni narrow minded?Mkuu neno shallow minded sio tusi, kwa namna ulivyo litafsiri aliye liandika hajakosea.
Itakuwa ni kujipendekezaUsijali lipo la Lissu linakuja na la heche pia
Take a break from jf, you are losing it homeboy. Comeback after jan 21 with more focus and refreshed mindTo hell, ukinitukana sitachagua tusi, nitakurudishia ninavyotaka. Kwani JF ni oxygen kuwa nikifungiwa nakufa? I can do without Jf for your information.....