Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

Ukute haya yote yanafanywa kwa kuogopa Mbowe kugombea uraisi mwaka huu. Hii nchi ngumu sana. Ukiona mshindani kawaingilia inabidi mrudi nyuma muanze kumtafakari pamoja. Ana lipi jambo?

Naamini chadema wana idara zinazofanyakazi zikiwa huru, ziwasaidie viongozi wao ripoti za haya matukio na mapendekezo yao.
 
Umeona eh! Good observation...yaani wapiga kura wakiona picha hiyo wanabadiri mawazo//// strange!
Hiyo itakuwa akili matope kabisa! Yaani nibadilishe mawazo kwa kumwona Mbowe ameketi na Samia? Akili ya wapi hiyo!
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!

Sawa nibya zamani. Lakini kama imepelekwa Dodoma kwenye mkutano wao unaoendelea wewe huoni kuna tatizo hapo?
 
Genge la wahuni Lissu, Lema na Msigwa tumeshalidhibiti - madhara ni kidogo sana. Tarehe 22 jumatano tunaanza kukijenga chama chenu strong than ever.
 
Ccm wanajidai kumuunga mbowe ili wanachadema wajichanganye na kumpa chama Lissu!!
Ndani ya miaka mitano lissu atachokwa na chadema itakufa kwanza amezungukwa na vijana wamatusi wasiokuwa na staha hatoweza kuvusha chama kabisa.
Bora mbowe anaweza kusajili akapata wabunge huyu lisu atamshawishi nani mwenyeakili ajiunge nae? Nani anataka kutukanana na Rais kilasiku?
 
Kwahiyo tulete na bango la Lisu na Samia Belgium?

Hivi nyinyi mna akili kichwani?
 
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.💪🏿
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Tupo kwenye kipindi gani ,usiongelee historia
 
Sawa nibya zamani. Lakini kama imepelekwa Dodoma kwenye mkutano wao unaoendelea wewe huoni kuna tatizo hapo?
Ccm ina urafiki na Chadema tangu lini?

Unafahamu matokeo ya serikali za mitaa?

Chadema wamejichanganya wenyewe sasa ccm ndio inawaconfuse kabisa.
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Sijui kwanini hutaki kumuelewa mtoa mada. Hajakataa kuhusu hii picha wala bango. Tatizo nikwanini litokee muda huu kwenye mkutano mkuu wa CCM? Yeye anaona linamchafua Mbowe kutokana na tuhuma zinatolewa na oponents wake. Hilo nalo linahitaji certificate kuliewa.
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
James mbowe kuna maisha nje ya siasa.
 
Wenye akili wanajua kuwa hiii ni propaganda, hakuna uhalisia wowote na context ya mleta uzi kuwa bango hili litawabadilisha watu mawazo waliyonayo kuhusu Mbowe na yaliyosemwa na Lisu na kuwa kabiri la Mbowe! or even Lisu himself!

Wanajua kuwa , wenye akili kuwa hizi ni propaganda limewekwa kumnasibu na CCM?Samia

Kwa hiyo team Mbowe wakiweka picha hii nao watabadilika mawazo?

Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Watu wamebeba siasa kama uadui, yaani kuna watu wameifanya siasa ya vyama vingi uadui, wasijue wanasiasa wanakutana private na kugonga cheers kabisa.

Hilo bango lina shida gani!!
 
Kwa hiyo unatumia picha kumhukumu mwenyekiti wako?
Kwani Lissu hakuwahi kupiga picha na Rais Samia?
Nilikuwa nakuona mwerevu sana, lakini sasa unanipa mashaka.
Hivi think tank ya chama chenu ndiyo kina Mdude&Sativa?
 
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.💪🏿
Hivi huoni kama ni maarifa hayo? Mpaka chadema wanantukanana wenyewe kwa wenyewe, don't you see kwamba ni magenius...maarifa gani mnataka nyie watu?

Leo Ritered na Salary Slip wanaumana? Ha ha ha ha
What a pity!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…