Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

Kwahiyo tulete na bango la Lisu na Samia Belgium?

Hivi nyinyi mna akili kichwani au mna mavi kichwani.
Daktari HEWA naona una SHIDA YA AFYA YA AKILI, umebakiza kuvua nguo na kutembea UCHI.
Inaonekana somo la LOGIC limekupitia mbali, kama wewe Daktari ni kati ya wale wapuuzi ambao Huwa wanaandikiwa tasnifu Thesis/πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜ƒ

Hongera sana naona PHD Yako ulisomea UJINGA πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸš΄
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi akiongea utasema mtu mstaarabu kumbe ndani ya chama ni dictator
 
Hivi logic ni ngumu kiasi hiki ?

The only thing Samia anachojivunia (be it right or wrong) na kuweza kujitofautisha na aliyepita (be it fact or fiction) ni kwamba ni mpole na msuluhishi..., na angependa kukumbukwa kwa nadharia ya 4R ingawa sidhani hata kuna anayezielewa au amezisikia huku kitaa (labda kwa sikio la mataifa ya nje yanayoangalia demokrasia kinadharia na kimaigizo)...

Kwahio ukiweka the above into equation the whole notion ya 4R does not hold water bila kukutana na Upinzani (Mbowe). By that token nakuuliza hao watu wako ni kina nani na maarifa gani unayozungumzia ?
 
Labda anaenda kuchukua Umakamu huko
 
Sasa mimi kujibishana na mpumbavu kama wewe usiyejuwa tofauti ya PhD na PHD ni kupoteza muda wangu bure tu.
 
Sasa mimi kujibishana na mpumbavu kama wewe usiyejuwa tofauti ya PhD na PHD ni kupoteza muda wangu bure tu.
Yaani I don't see any logic katika vitu unavyopost.
Instead I see LACK OF OBJECTIVITY AND PARTICULARLY πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜… nyie ndo ambao mkikaa na msukuma Joseph kasheku Mbunge darasa bla saba anaweza kuwapiga mhadhara.

Kama Taifa tumepoteza Mwelekeo kama Kuna wasomi WAPUMBAVU wa Calbar Yako wanaojiita Madaktari πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…

Kweli Ujinga ni mzigo, hivi wewe kwa UHARO unapost huoni aibu kujitambulisha kama Daktari??πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄
 
Kukujibu mpumbavu kama wewe ni bonus tu kwako.

Ukiona mtu anaandika kama bata anachanganya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi na kuweka emoji kama demu ni wa kumuhurumia tu.

Hivi ndio vitoto vya 2000 vilivyojaa ujuwaji wakati hujui kitu.

Pumbaaavuu.
 
Narudia, I don't see any logic in your post, rather than lack of OBJECTIVITY & PARTICULARLITY.....πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ karibu kwa MATUSI na MANENO YA KWENYE KANGA DAKTARI HEWA πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜…πŸš΄πŸš΄πŸ˜…
 
Kaaulize maana ya narrow minded kama ni matusi.
Ni watu wenye uwezo mdogo .

The type of people who are not capable to think criticaly kama wewe.
Sio tusi hamna Matusi hapo.πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸš΄πŸš΄πŸ€”πŸ€”
Yaani hapo ni wasifu wake wale siyo tusi,ni kama vile kusema fulani ni mcheshi.
 
Kweli malumbano haya yametuonesha the deep side of thinking capacity ya watu! Kwani hii picha ni ya leo? Mbona kila mwenye akili na kufuatilia siasa za TZ anaijua? Leo ndiyo ilete kaburi?
salary jiepushe na simple issues kama hizi za Iron boys!
Kweli picha ni ya zamani, ila bango limetengenezwa rasmi kipindi cha Mkutano Mkuu wa dharura wa hao jamaa wakimchagua Makamu wao. Zimesambaa kila sehemu muhimu ya Jiji la Dodoma. Hongera zake jamaa kwa kazi nzuri aliyoifanya.
 
MFANO WA REASONING /TAFAKURI

PREMISES NI HIZI HAPA CHINI( 1-3)

1)Maridhiano kati ya watu au pande mbili ,ni makubaliano ya pande zote mbili ambapo upande mmoja unakubali kulegeza baadhi ya misimamo(compromise) yake ambayo ni mwiba kwa upande mwingine,na upande mwingine wa pili nao unakubali unalegeza baadhi ya misimamo yake.(compromise)ambayo ni mwiba kwa upande mwingine.Kila upande utakubali kupata hasara/kuumia compromise kidogo kwa kuondoa baadhi ya misimamo yake iambayo ni misumari miiba kwa upande mwingine.

2)Maridhiano yananufaisha pande (benefit)zote mbili.WIN WIN SITUATION yani kila upande UTAKULA faida baada ya kukubali kuliwa kidogo kulegeza misimamo fulani.

3)Maridhiano ni kufikia makubaliano/muafaka CONSENSUS baada ya kila upande kuridhika na kuliwa kidogo ili ule faida,na kufikia MAELEWANO..MAPATANO. YA PAMOJA KATIKATI.baada ya kuridhia.Kumaliza tofauti zao kuondoa manunguniko misuguano,na kufikia kuwa KITU KIMOJA.at the same page kuanza mwanzo mpya kurasa mpya ya URAFIKI (siasa za kistaarabu,kirafiki,kindugu,kiutu,upendo,kuheshimiana,,staha,kujenga,maslahi mapana,BUSARA..URAFIKI UPENDO MUUNGANO,UMOJA,BILA KUKOSOANA.

CONCLUSION/HITIMISHO
Palipo na MARIDHIANO pana mapatano na maelewano kuna URAFIKI/UNDUGU/UMOJA/MUUNGANO na ABADANI '"HAKUNA UPINZANI"'
 
CHadema hawana huo uwezo ayo yako mavyama makubwa yenye watu smart sio hawa wahuni wahuni
 
Wakati ni mwalimu mzuri sana. Tafadhali tunza hii slip Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…