Watu wanne unaotakiwa kuwa nao wakati wa kununua kiwanja dar or across the country

Watu wanne unaotakiwa kuwa nao wakati wa kununua kiwanja dar or across the country

Hakuna kitu kibaya unanunua kiwanja halafu unakuta kunawamiliki wengine ambao nao wako kwenye mgao wa hicho kiwanja na hawakushirikiswa, unaanza kuweka msingi kesi inafika mahakamani wanaweka zuio
 
A- Wakili.
B- A surveyor.
C-A land Valuer.
D- Mlevi mmoja ama wawili wa hapo mtaani Watakao kuambia kweli(hidden truths) na historia ya hicho kiwanja.
Hata ukiwa nao wote hao bado ni tatizo pia, still a betting game!
Tanzania kuna tatizo kubwa sana la kukosekana kwa database ya uhakika kuhusu masuala haya ya Property Rights and Real Estate Market.
 
Ivi kuna mtu ambaye amewahi kununua kiwanja kwenye kampuni ya viwanja tanzania na akapewa hatimiliki ya kiwanja ?

Ningependa kujua hasa kwa maeneo ya Dar.
 
Back
Top Bottom