Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Spika anamaanisha wenye makaratasi ya PhD ya kusomea darasani wanadhalilishwa na Hawa wanaopewa PhD kwa kazi walizofanya kwa taifa lao, ni upuuzi kututaka tuyaheahimu makaratasi yasiyotusaidia chochote Wala hayasaidii nchi yetu zaidi ya kutuibia tu.
Nawaheshimu sana wanaopewa udokta kwa sababu ya mambo waliyoifanyia nchi Yao ' Dk. Tulia Ackson mishipa ya shingo imemtoka kwa kuwa yeye anadhani kuitwa doctor ni makaratasi pekee! Hata mkulima anaweza kupewa udokta ikiwa amefanya jambo lililoisaidia jamii iliyomzunguka, viva doctor Musukuma, viva docta Taletale.