Watu wapewe PhD kulingana na mambo waliyoifanyia nchi, si makaratasi mliosomea madarasani

Watu wapewe PhD kulingana na mambo waliyoifanyia nchi, si makaratasi mliosomea madarasani

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Spika anamaanisha wenye makaratasi ya PhD ya kusomea darasani wanadhalilishwa na Hawa wanaopewa PhD kwa kazi walizofanya kwa taifa lao, ni upuuzi kututaka tuyaheahimu makaratasi yasiyotusaidia chochote Wala hayasaidii nchi yetu zaidi ya kutuibia tu.

Nawaheshimu sana wanaopewa udokta kwa sababu ya mambo waliyoifanyia nchi Yao ' Dk. Tulia Ackson mishipa ya shingo imemtoka kwa kuwa yeye anadhani kuitwa doctor ni makaratasi pekee! Hata mkulima anaweza kupewa udokta ikiwa amefanya jambo lililoisaidia jamii iliyomzunguka, viva doctor Musukuma, viva docta Taletale.
 
Ni kweli

Jaffo katupiga Kwenye madarasa enzi za Shujaa sasa na yeye ni PhD holder
 
Msukukuma kaifanyia nini nchi?

Tale Tale kaifanyia nini nchi?
 
Kweli mkuu unakuta kajitu kanaroho mbayaaaaa kisa kana PhD wala hakana mbele wala nyuma hakana ela hakana impact kwenye jamii kapo kapo.....big up dr tale tale na dr msukuma
 
Kweli mkuu unakuta kajitu kanaroho mbayaaaaa kisa kana PhD wala hakana mbele wala nyuma hakana ela hakana impact kwenye jamii kapo kapo.....big up dr tale tale na dr msukuma

Roho mbaya inahusiana Nini na PhD?. Akina msukuma imebidi wanunue ili na wao waiter madokta. Mnaitukana PhD wakati huo huo mnaenda kuinunua.
 
Hicho ndicho alichokisema Spika, Samia ametunukiwa shahada ya heshima kwa kutambua kazi zake, hao akina tale wamefanya nini??

Usiwe na bichwa gumu kuelewa point ya mheshimiwa spika.
 
Roho mbaya inahusiana Nini na PhD?. Akina msukuma imebidi wanunue ili na wao waiter madokta. Mnaitukana PhD wakati huo huo mnaenda kuinunua.
Sijatukana PhD bali nasema wenye PhD kua na roho mbaya kuona watu wenye impact kwenye jamii kupewa hizo PhD....kwani msukuma anashida gani ya ela iyo PhD itamuongezea nn kwenye mishe zake kama sio heshima tu............
 
Mwanzilishi wa jamii forum Melo apewe pia

Diamond platnum apewe nae.

Kila mtu ashinde mechi zake
 
PhD ni tafiti za mambo muhimu yenye maslahi Kwa nchi, Sasa wewe taletale umefanya tafiti gan?
 
Kama huna akili kanunue phd, kama una akili kasome hayo unayoita makaratasi.

Kwa taarifa yako mtoa mada hakuna mwenye phd unamzd chochote isipokuwa roho mbaya.
 
Hao wanaopata hiyo PhD inaoitwa rasmi wengi wao wanawasilisha thesis bandia walioandikiwa. Ukilipa 500K utafanyiwa research kisha utaandikiwa dissertation safi utawasilisha na kupata hiyo PhD. WAPO WENGI
 
Taja wawili
 
Bandiko lako laweza kuwa na weight ila umeliharibu kuwapa viva kina Tale Tale.

Msukuma na Tale wanastahili PhD ya nini? Wamebobea kwenye nini na kuisaidia nchi?

Mtu aliyekuwa anamaliza maneno yote duniani kumsifu Magu kwa kuzuia chanjo na kuanzisha kupiga nyungu na kupiga picha anapiga nyungu (umewahi kuona mtu mwembamba alafu Ana kitambi? Tafuta zile picha uone) alafu leo anamsifu Mama Samia kwa kuruhusu chanjo ya Corona na kuliponya taifa unamsifu kwa kununua PhD?
 
Back
Top Bottom