Kwa kweli mimi nimemjua zaidi kwenye kile kipindi chake cha in my shoes,ni mbishi na mkorofi hapendi kukosolewa kabisa!
Mimi siwezi kuishi naye tungepigana hadharani!
Ungezichapa nae kavukavu??? Hahaha
Tena tungezichapa kwelikweli,siwezi kuvumilia uonevu mimi!
Ningekuwa nakushangilia unavyomdunda..!
Usiseme hivyo aisee natamani nizichape naye sasa hivi...
Mpuuzi sana yule
Ningekuwa nakushangilia unavyomdunda..!
wema hana ustaarabu kabisaa.
Majirani washamchoka na tabia zake za kinyama.
Kuna siku nilisema hapa wema alisimama katikati ya mtaa akaanza kutukana majirani.
Watamfanya kitu kibaya asipobadilika.
Kama amedhurika hivi, halafu anajifanya ana roho nzuri mfyuuuuuuuu
Umeanza kuniiga ushabiki eee
Wewe uko juu bana mimi nachombeza tu..lakini kama ataweza kumdunda nitafurahi sana
Ataniita nimsaidie piaaa
huyo petit hashindi kwake na mkewe,,aiseee huyu sio mume yaan muda wote ni msukulee wa wema,
Huyo petit hashindi kwake na mkewe,,aiseee huyu sio mume yaan muda wote ni msukulee wa wema,
Mi nilijua Petit ni kale ka mbwa kake, kumbe ni mtu? Mwenye picha ake anipatie please na mm nimjue petit
Mmmh huyo mama steve nae mpana...
Halafu unaweza kukuta mafundi wamelipwa kudundwa ili kurushwa kwenye in my shoes
Lakini kama ana kamkono kepesi ka kupika utamponza
Ila kama hao mafundi wanaume...halafu wamepigwa mpaka kuvuliwa nguo...... uanaume wao inabidi uchunguzwe zaidi