Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

Kwa kweli mimi nimemjua zaidi kwenye kile kipindi chake cha in my shoes,ni mbishi na mkorofi hapendi kukosolewa kabisa!
Mimi siwezi kuishi naye tungepigana hadharani!

Ungezichapa nae kavukavu??? Hahaha
 
We mwache ipo cku atakutana na watu waliopinda halafu atashika adabu yake....u celebrity wa kipumbavu huu sijapata ona
 
wema hana ustaarabu kabisaa.
Majirani washamchoka na tabia zake za kinyama.
Kuna siku nilisema hapa wema alisimama katikati ya mtaa akaanza kutukana majirani.
Watamfanya kitu kibaya asipobadilika.
Kama amedhurika hivi, halafu anajifanya ana roho nzuri mfyuuuuuuuu

Nshaona clip yake jinc anavoporomoa mitus tena kwa saut mpaka wafanyakaz wanakimbia kujficha nyuma ya nyumba. Mmhh huyu bint cjui ni ln ataacha maisha ya kuigiza
 
Mmmh huyo mama steve nae mpana...

Halafu unaweza kukuta mafundi wamelipwa kudundwa ili kurushwa kwenye in my shoes

Lakini kama ana kamkono kepesi ka kupika utamponza

Ila kama hao mafundi wanaume...halafu wamepigwa mpaka kuvuliwa nguo...... uanaume wao inabidi uchunguzwe zaidi

Word! Wema unaweza kukuta amepanga haya yote ili kuuza zaidi kipindi chake! Hii imekaa kibiashara zaidi japo kwa ninavyo muona Wema hashindwi kupiga mtu kabisa maana hakubali kushindwa na nimjuaji!

Sito shangaa siku Martin Kadinda akipigwa hadharani!
 
Back
Top Bottom